Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Fikiri kwanza kabla ujatamani, usije kujuta.
Waraghai wa mapenzi sasa hivi wako wengi sana, utasikia demu anakuingilia messenger nitumie nauli mie nipo mwanza nakuja dar kwa ajiri yako
Kumbe umeliwa kazi kwetu watoto wa kiumeni, kumbuka ukiwa na pesa hao ni wengi sana fikiri kabla Ujatamani na
Kumuweka moyoni