kuingia period ukiwa na mimba!!

kuingia period ukiwa na mimba!!

niwaellyester1

Senior Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
123
Reaction score
22
nauliza inakuaje mtu anakuwa anaendelea kuingia period wakati ana mimba?

kuna frend wangu alikuwa ananisimulia mpk mimba imefika miezi mi5 bado alikuwa hajajigundua kama ni mjamzito coz alikuwa anaingia period kama kawa , ila alikuwa anaumwa sana kila wakati , ameangaika hospital kila ugonjwa hana , na ukimwi alipima hana , baadae akampata daktari aliyemshauri apime mimba ndio akakutwa nayo.

Sasa keshajifungua na kitoto kina mwezi mmoja , ila ambacho mie mpk ss celewi inakuaje alikuwa anaingia period kila mwezi wkt ni mjamzito?
 
Back
Top Bottom