Kuingiza mzigo wa simu toka China ama korea

Tangasisi

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
116
Reaction score
64
Wadau nimelazimika kuuleta tena huu uzi ili nipate msaada wenu juu ya jinsi ya kuingiza simu used na brand new tokea China na Korea. Nataka kuingiza simu genuine Samsung brand toka Korea na simu nyingine toka China. Kwa anayejua taratibu za uingizaji na makadirio ya Kodi tafadhali anijulishe.
Karibuni kwa maoni ...
 
Katika ule uzi wa kwanza majibu hukupata ama?
 
Reactions: bbc
Korea huko kuna vita mjomba utakufa sikushauli uende kwanza watu weusi hakunaga
 
Korea huko kuna vita mjomba utakufa sikushauli uende kwanza watu weusi hakunaga
North Korea ndio Kuna kasheshe ya Vita japo Hakuna mapigano yoyote .Simu ntafuata South Korea ambako kumetulia na wastaarabu Sana.
 
North Korea ndio Kuna kasheshe ya Vita japo Hakuna mapigano yoyote .Simu ntafuata South Korea ambako kumetulia na wastaarabu Sana.
Ok ukitaka kwenda uniambie nikupe barua umpelekee mshikaji wangu anaitwa Bubuno.
 
Mkuu kila kitu si cha kuweka public,
mengine ni secret ninaweza weka public watu wabaya wakamfanyia timing.
[emoji23] [emoji23] Acha kutuona kama popo, ina maana ukimpa ushauri hapa huyo jamaa hana akili za kujiongeza au akili yake imezima kabisa!
 
Mkuu kila kitu si cha kuweka public,
mengine ni secret ninaweza weka public watu wabaya wakamfanyia timing.
Toka hapa peleka upuuzi huko..

Watu wamfanyie timing hata kumjua hawamjui.!? We unafikili wote akili maji kama ww.
 
Njoo PM nikusaidie ABCD za uingizaji wa mzigo.
Mkiambiwa mashoga mnakataa, mwanaume mzima unamuita mwanaume mwenzako pm kufanya nn. Unataka umpe tiGo? Alafu watu kama nyie ndio mnatakiwa kula Ban isiyo Julikana mda wa kuisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…