Tangasisi
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 116
- 64
Wadau nimelazimika kuuleta tena huu uzi ili nipate msaada wenu juu ya jinsi ya kuingiza simu used na brand new tokea China na Korea. Nataka kuingiza simu genuine Samsung brand toka Korea na simu nyingine toka China. Kwa anayejua taratibu za uingizaji na makadirio ya Kodi tafadhali anijulishe.
Karibuni kwa maoni ...
Karibuni kwa maoni ...