Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 748
Hapo ndo alipoharibu,
though maelezo yake mengine ni sahihi kabisa.
Dawa ya sikio, si kama nimeharibu ila siwezi kutoa maneno makavu matupu ukashindwa kucheka afu usielewe. Mwisho wa somo natoa kibwagizo kidogo ili ukitabasamu utanikumbuka kuwa Mupirocin alisema vitu kama hivi. Hizi paragraphs mbili ilikuwa ni chit chat mkuu, mimi ni Dr na mwalimu pia. Nawashukuru kwa kunielewa na kutambua mchango wangu. Be blessed