Kuinua Elimu nchini, mfumo wa kuajiri kwa kuangalia Vyeti ufutwe

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Moja ya sababu ya elimu kuwa Duni na pia kukutana na Graduate au Masters ambaye uwezo wao ni mdogo sana kulinganisha hata na Darasa la saba au mtu mwenye elimu ya certficate ni kwa sababu ya Vyeti kuabudiwa.

Vyuoni watu huenda kutafuta vyeti na si kutafuta maarifa, ndo maana kule kuna njia mbalimbali zinafanyika kuanzia kuhonga,kuiba paper na kadhalika.

Kuna Chuo Kimoja kikuu ni kikubwa sana, kuna Departiment ambayo Secretary alikuwa yeye anapiga pesa kwa kubadilishia wanafunzi Max yaani mpaka kuja kushitukiwa alisha haribu sana.

Baadhi ya Mashirika hasa ya nje najua wanatumia sana huu mfumo wa kuto kuhitaji sana vyeti na badala yake wana angalia sana CV na uwezo wa mtu.

Ila Serikali ni moja ya Taaasisi ambauo inaabudu sana vyeti, Serikalini vyeti vinaabudiwa kuliko uwezo wa mtu.

Na hii ndo inasababisha watu wanunue hata vyeti au wahonge kupata GPA au kufaulu paper.

Siku Serikali na taasisi zingine zitakapo amua kwa kauli moja kwamba vyeti havitazingatiwa kwenye kuajiri basi hapo utaona Ubora wa elimu.

Ila kipindi hiki ambacho vyeti vinaabudiwa basi tuendelee kuwa na elimu ya hovyo na Graduate wasio kuwa na uwezo.

Hii ni hadi Secondary ambapo Shule iko lazi ihonge wasimamizi ili watoto wafaulu vizuri, kumbuka wafaulu na sio wawe na maarifa.

Sijui kama nimeelewa wandugu.
 
Kwa hiyo mkuu unapendekeza kazi yoyote inapotangazwa waseme tu "Mtu yoyote anaweza ku apply" halafu ndio waanze kuchuja kumpata huyo mwenye ujuzi? Au unapendekeza mtu aambatanishe kitu gani kuonyesha ana elimu stahiki, kama sio cheti?

Swala la vyeti halikwepeki.
 
Suala la vyeti lipo dunia nzima. Shida ni mitaala iwe reformed. Sio miaka yote kutumia mitaala hiyo hiyo vyuoni wakati mambo yanabadilika.

Pia elimu ijikite zaidi na mambo yaliyopo field sio kufundisha mambo mengi halafu kazini unatumia 5% ya taaluma yako.
 
Jibu umepewa.
Moja ya sababu ya elimu kuwa Duni na pia kukutana na Graduate au Masters ambaye uwezo wao ni mdogo sana kulinganisha hata na Darasa la saba au mtu mwenye elimu ya certficate ni kwa sababu ya Vyeti kuabudiwa.

Vyuoni watu huenda kutafuta vyeti na si kutafuta maarifa, ndo maana kule kuna njia mbalimbali zinafanyika kuanzia kuhonga,kuiba paper na kadhalika.

Kuna Chuo Kimoja kikuu ni kikubwa sana, kuna Departiment ambayo Secretary alikuwa yeye anapiga pesa kwa kubadilishia wanafunzi Max yaani mpaka kuja kushitukiwa alisha haribu sana.

Baadhi ya Mashirika hasa ya nje najua wanatumia sana huu mfumo wa kuto kuhitaji sana vyeti na badala yake wana angalia sana CV na uwezo wa mtu.

Ila Serikali ni moja ya Taaasisi ambauo inaabudu sana vyeti, Serikalini vyeti vinaabudiwa kuliko uwezo wa mtu.

Na hii ndo inasababisha watu wanunue hata vyeti au wahonge kupata GPA au kufaulu paper.

Siku Serikali na taasisi zingine zitakapo amua kwa kauli moja kwamba vyeti havitazingatiwa kwenye kuajiri basi hapo utaona Ubora wa elimu.

Ila kipindi hiki ambacho vyeti vinaabudiwa basi tuendelee kuwa na elimu ya hovyo na Graduate wasio kuwa na uwezo.

Hii ni hadi Secondary ambapo Shule iko lazi ihonge wasimamizi ili watoto wafaulu vizuri, kumbuka wafaulu na sio wawe na maarifa.

Sijui kama nimeelewa wandugu.
CCM ndio watajaza Mazezeta yao serikalini
 
Back
Top Bottom