Kuinuka kwa Roho ya Mpinga christo/ The Rising of antchrist spirit

Kuinuka kwa Roho ya Mpinga christo/ The Rising of antchrist spirit

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
479
Reaction score
821
Iko hivi Kuna Roho inaitwa ya Mpinga christo Sasa basi hii Roho ni moja ya Roho yenye nguvu sana ,ila bado haijainuka au kurusiwa kufanya kazi Duniani kwa kiwango cha juu kwa Sasa bado haija achiliwa kutoka kuzm Ila inatuma Usha wish wake Duniani kwa njia Tofauti Tofauti nitatoa mifano michache kwanza.

Hii Roho lengo lake ni kushusha Nguvu ya wanaomini kuhusu Yesu, Nguvu zake na Ukuu wake hivyo inaweza kutumia wasanii wa maigizo , wasanii wa nyimbo , wanasiasa na viongozi wa dini.

Utakuta msanii anakejeli kuhusu christo, wanafanya maigizo ya kudhalilisha au Kuona kama ni kitu cha kawaida kwenda kanisani mkacheza rumba, eg wimbo wa shagy..church heaven.

Anainuka mtu Anasema kuwa yesu alikuwa ni story tu ya kutunga ..Eg nenda crown media you tube channel..chionda. kuigiza kama pastor unaombea watu kumbe ni tangazo la sabuni..wasafi..eg mwijaku.
wimbo wa zuchu..Ana ektia kanisani..nimeusahau mm sio mwangaliaji.

Wachungaji nao wako tayari kuuza chumvi kuliko kufanya maombi kwa jila la christo
wengne wako tayari kwenda Congo hadi Nigeria Kupata nguvu za kuongezeka kiuduma.

Mwingne anaimba mtoto wa mchungaji kakataa dini..yote hii ni kejeli tu Maana story ya mtoto mchungaji kumkataa yesu sio kweli Ila kejeli dhidi ya christo.

Sasa hizi kejeli, maigizo na hata kutumia nguvu bandia na kusema ni ya christo vyote hivi ni Ile Roho ya Mpinga Christo ikijianda kufanya kazi fully Duniani na itaanzia kwenye nyanja za viongozi wa Dunia kuweka mikataba na kanuni amabazo Zina uvuvio na nguvu ya hii Roho.

Hivyo Ewe Mkristo unayampenda Mungu usishabikie ,Maongezi yanayokejeli uwepo wa yesu, nyimbo Zenye kejeli au hata movie za Hollywood au za Bonge Zenye kukejeli kanisa au Christo maana ni Roho ya Mpinga Christo inatuma ushawishi wake Duniani kupitia hivyo Vitu.
......
To be continued ......
 
HUJUI MAANDIKO WALA UNABII UNAKUPIGA CHENGA.SOMA VIZUR DANIEL SURA 7 NA YA 2. 2THE2:2-7
 
Ushawahi kumuona uyo yesu? Au ulizàliwa ukaambiwa , ungezaliwa kwenye familia ya kiislam usingeambiwa habari za yesu ungeambiwa kuhusu mtume Muhammad
 
Hizo mpinga kristo ni kampeni yenu yesu mwenyewe hakuisema
 
HUJUI MAANDIKO WALA UNABII UNAKUPIGA CHENGA.SOMA VIZUR DANIEL SURA 7 NA YA 2. 2THE2:2-7
wewe mtu Acha ujuaji mwingi sjaweka maandiko Wala kunukuu mahali kwenye vitabu na sababu ya kutokuweka hivyo au ww ndio wale wauzaji vitambaa vya upako?
 
Back
Top Bottom