Nataka ninunue stocks za kampuni za US, nimetafuta jinsi ya kufanikisha hilo na nimekutana na brokerages kadhaa za Hong Kong, US na nchi za Ulaya ambazo zinakubali foreign clients, lakini wengi wanahitaji minimum ya $5000-$10,000 plus transfer najua zitaleta shida nyingine.
Kuna mtu anajua stock brokers Tanzania anayedeal na US market anipe info?
Je unayo foreign account ? either UE or US , nadhani inawezekana na mm kwa kujifunza ntafatilia, pili sioni kabisa sababu za Tanzania Kuinvest kwenye stockmarket za US ?, my view ni nafuu na wala sio rahisi kutengeneza pesa kwa ku Invest kwenye Stockmarket hizi zet changa kuliko hizo kubwa US or UE, Hong kong n.k
Tunaomba msaada wako utuelimishe na sisi tuweze kuelewa
Nadhani kwanza uwe na akaunti kwenye hizi bank za kimataifa. Iwe ya dolla au pound.
Na pia nadhani kwa kujianinisha kabiaa ni bora ukaenda wewe mwenyewe hadi pale stock exchange ina faida kubwa, kuestablish contacts then unapata taarifa za kina kuhusu hizo process.
Nadhani ukishaanza kuinvest kwenye hizo stocks za nje safari hazitaisha. You need to be informed always na kufanya maamuzi haraka. (Speculations)
Pia uwe na kiwango kikubwa cha pesa kwenye account ili uanze kuona matunda haraka.
Otherwise good luck.
Je unayo foreign account ? either UE or US , nadhani inawezekana na mm kwa kujifunza ntafatilia, pili sioni kabisa sababu za Tanzania Kuinvest kwenye stockmarket za US ?, my view ni nafuu na wala sio rahisi kutengeneza pesa kwa ku Invest kwenye Stockmarket hizi zet changa kuliko hizo kubwa US or UE, Hong kong n.k
Tunaomba msaada wako utuelimishe na sisi tuweze kuelewa
Kuna company inaitwa ViralAngels kwa kutumia monthly subcription unapata uwezo wa kuwa broker pamoja na gawio la hisa. ViralAngels ni club ya brokers ambao wanaingia makubaliano na makampuni mbalimbali duniani yakiwemo TrigMedia group, E sport challenge, nk ambapo mnanunua shares au kugawiwa kabla ya Initial Public Offer (IPO) na zinapoingia kwenye Frankfurt au London Stock Exchange mnaziuza kwa faida. Kwa maelezo zaidi fungua www.viralangels.com