Kuinvest Hisa Marekani ukiwa Tanzania

Kuinvest Hisa Marekani ukiwa Tanzania

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Nataka ninunue stocks za kampuni za US, nimetafuta jinsi ya kufanikisha hilo na nimekutana na brokerages kadhaa za Hong Kong, US na nchi za Ulaya ambazo zinakubali foreign clients, lakini wengi wanahitaji minimum ya $5000-$10,000 plus transfer najua zitaleta shida nyingine.

Kuna mtu anajua stock brokers Tanzania anayedeal na US market anipe info?
 
Kuna company inaitwa ViralAngels kwa kutumia monthly subcription unapata uwezo wa kuwa broker pamoja na gawio la hisa. ViralAngels ni club ya brokers ambao wanaingia makubaliano na makampuni mbalimbali duniani yakiwemo TrigMedia group, E sport challenge, nk ambapo mnanunua shares au kugawiwa kabla ya Initial Public Offer (IPO) na zinapoingia kwenye Frankfurt au London Stock Exchange mnaziuza kwa faida. Kwa maelezo zaidi fungua www.viralangels.com
 
Je unayo foreign account ? either UE or US , nadhani inawezekana na mm kwa kujifunza ntafatilia, pili sioni kabisa sababu za Tanzania Kuinvest kwenye stockmarket za US ?, my view ni nafuu na wala sio rahisi kutengeneza pesa kwa ku Invest kwenye Stockmarket hizi zet changa kuliko hizo kubwa US or UE, Hong kong n.k

Tunaomba msaada wako utuelimishe na sisi tuweze kuelewa
 
Nadhani kwanza uwe na akaunti kwenye hizi bank za kimataifa. Iwe ya dolla au pound.

Na pia nadhani kwa kujianinisha kabiaa ni bora ukaenda wewe mwenyewe hadi pale stock exchange ina faida kubwa, kuestablish contacts then unapata taarifa za kina kuhusu hizo process.

Nadhani ukishaanza kuinvest kwenye hizo stocks za nje safari hazitaisha. You need to be informed always na kufanya maamuzi haraka. (Speculations)

Pia uwe na kiwango kikubwa cha pesa kwenye account ili uanze kuona matunda haraka.

Otherwise good luck.
 
mkuu pamoja na kuwa nimeona umeomba msaada, mimi nakuona kama vile wewe unaelewa kiasi flan, hivyo naomba unisaidie. hivi $10,000 zinaweza kuleta faida kwa kuwekeza nje? au ni ndogo sana?
 
Nadhani kwanza uwe na akaunti kwenye hizi bank za kimataifa. Iwe ya dolla au pound.

Na pia nadhani kwa kujianinisha kabiaa ni bora ukaenda wewe mwenyewe hadi pale stock exchange ina faida kubwa, kuestablish contacts then unapata taarifa za kina kuhusu hizo process.

Nadhani ukishaanza kuinvest kwenye hizo stocks za nje safari hazitaisha. You need to be informed always na kufanya maamuzi haraka. (Speculations)

Pia uwe na kiwango kikubwa cha pesa kwenye account ili uanze kuona matunda haraka.

Otherwise good luck.

Haina haja ya kuwa na account ya nje, brokers kama Forex Trading Online - Trade FX, CFDs, FX Options at Saxo Bank au U.S. Investing unaweza kufungua account kwao sema hizo minimum ndo zinakuwa kubwa kidogo.
Pia sipo interested kwenye speculation or timing the market utafiti unaonyesha ni loosing strategy. Nataka kuinvest long term kwenye Index funds.
 
Je unayo foreign account ? either UE or US , nadhani inawezekana na mm kwa kujifunza ntafatilia, pili sioni kabisa sababu za Tanzania Kuinvest kwenye stockmarket za US ?, my view ni nafuu na wala sio rahisi kutengeneza pesa kwa ku Invest kwenye Stockmarket hizi zet changa kuliko hizo kubwa US or UE, Hong kong n.k

Tunaomba msaada wako utuelimishe na sisi tuweze kuelewa

Stock market ya TZ bado naona iko shallow sana kampuni na shares ni chache kiasi kwamba ni vigumu ku-diversify pia nina wasiwasi hakuna ulinzi mzuri wa investors bongo.
 
Kuna company inaitwa ViralAngels kwa kutumia monthly subcription unapata uwezo wa kuwa broker pamoja na gawio la hisa. ViralAngels ni club ya brokers ambao wanaingia makubaliano na makampuni mbalimbali duniani yakiwemo TrigMedia group, E sport challenge, nk ambapo mnanunua shares au kugawiwa kabla ya Initial Public Offer (IPO) na zinapoingia kwenye Frankfurt au London Stock Exchange mnaziuza kwa faida. Kwa maelezo zaidi fungua www.viralangels.com

Sijaelewa bado wanafanya nini hawa lakini naona sio ninachotafuta mimi.
 
ETRADE, Sijuwi about foreigners account but cheki it out,natumia hiyo ipo poa
 
Duh alibaba $105.98 per share not good investment kwa sahv
 
Angalia E trade, Amitrade ukiwa unataka forex na future investment angaliana forex.com au gcitrading ambazo zinakupa forex, futures na commodities like crude na uzuri wa hawa kama unajua unachofanya investment of $ 1000 to $ 5000 with margin of up to 400 times. Na sio mbaya ukiweka partly kwenye automated trading inakuwa vyema zaidi.
 
Back
Top Bottom