Wanaume kama akina MWASHAMBWA wanajiuza ili wapate pesa za kuishi. Tusikubali tutumike.Watu wanatufyagia tena kwa macho makavu halafu sisi tunawabembeleza watutendee haki ,kama siyo ukichaa ni nini?
Kama Taifa zima linakosa hata wanaume watano tu wakuweza kuirejesha heshima kwenye misingi yake , tunatofauti gani na jamii ya mashoga ?😎
Hivi inatuingia akilini Taifa zima liwe la kuwekeza matumaini kwa wanawake wale mitandaoni au kutegemea kukombolewa na Jeshi ambalo linama process kibao ili liweze kupoka madaraka.
Seriously nasisi tunaweza kujihesabu ni miongoni mwa wanaume.
Wanaume kweli tuliyo na uwezo wa kunyanyua mishipa ya damu na bado tukawa na uwezo wa wakuvumilia kuokotwa mmoja mmoja kama makuku bandani?
Kwa namna hali ilivyo ,kila mmoja anapaswa kusimama imara kufanya jambo kwa ajili ya kulitetea Taifa lake,kimya kimya tu bila kelele .Umeongea ukweli kabisa na Nina amini ni ukweli mchungu Kwa wenye nafasi ya ushawishi katika jamii maana Ili ufanye jambo katika mazingira haya tuliyopo Kwa Sasa ni lazima uwe na nguvu ya ushawishi katika jamii au serikali mtu Wa kawaida ni vigumu sana kufikisha ujumbe na kuskilizwa
Kibaya zaidi Kila mwenye nguvu ya ushawishi wamemuweka mfukoni kutwa kucha ni mapambio ya kumsifu na kumtukuza mama uli wazidi kujihakikishia ugali wao
mara zote busara imetatua matatizo mengi zaidiWatu wanatufyagia tena kwa macho makavu halafu sisi tunawabembeleza watutendee haki ,kama siyo ukichaa ni nini?
Kama Taifa zima linakosa hata wanaume watano tu wakuweza kuirejesha heshima kwenye misingi yake , tunatofauti gani na jamii ya mashoga ?😎
Hivi inatuingia akilini Taifa zima liwe la kuwekeza matumaini kwa wanawake wale mitandaoni au kutegemea kukombolewa na Jeshi ambalo linama process kibao ili liweze kupoka madaraka.
Seriously nasisi tunaweza kujihesabu ni miongoni mwa wanaume.
Wanaume kweli tuliyo na uwezo wa kunyanyua mishipa ya damu na bado tukawa na uwezo wa wakuvumilia kuokotwa mmoja mmoja kama makuku bandani?
Busara isiyo na kuheshimiana ni upuuzi , tulipofika nikama wengine wanaonekana wako na haki zaidi ya wengine .mara zote busara imetatua matatizo mengi zaidi
busara ninaomaanisha nn kama siasa inakuletea athari fanya ishu zingine sio lazima uwe mwanaharakati, umejaribu kuuza juice ya miwa?Busara isiyo na kuheshimiana ni upuuzi , tulipofika nikama wengine wanaonekana wako na haki zaidi ya wengine .
Vilio vinapaswa kuwa balanced.
Kesho tusikie Mwanza amelazwa kesho kutwa Arusha amelazwa , Kagera amelazwa Dodoma amelazwa Dar amelazwa Songea amelazwa tena siyo kugusa vitoto No top lank .
Hadi leo tungelikwishakusikia kauli za meza ya duara zikihubiriwa na wao ,tofauti na sasa ndiyo kwanza wanazidisha viburi as if wengine wote ni wanawake .....
shit.
Naunga mkono hoja Thread 'Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha haki' Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha hakiWatu wanatufyagia tena kwa macho makavu halafu sisi tunawabembeleza watutendee haki ,kama siyo ukichaa ni nini?