Uchaguzi 2020 Kuiondoa CCM madarakani kunahitaji kujitoa tena kujitoa haswa

indian mark 2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
397
Reaction score
301
Habari za jion wakuu,
Kama nilivyoeleza hapo juu kiukweli nimejitahidi kufatilia hizi vuguvugu za uchaguzi kupitia vyama vyote vikiwemo vya upinzani na hata chama tawala nikakaa nikawaza nikasema hapana ngoja niandike kitu..

Jamani napenda kusema kwamba tusijidanganye kama CHADEMA wanaweza kukitoa chama tawala kilichoshikilia dola kwa staili hii wanayoenenda nayo, nasema tena nikujidanganya kwa kiwango cha barabara za mkulu.

Kwasababu moja ambayo nadhani wapinzani wanaijua au hawaijui kwanini nasema hivyo ni kutokana na huyo mkurugenzi mkuu wa tume ya uchaguzi ni kada tena kada kindakindaki

Mwaka 2015 aligombea jimbo la Ubungo kwa tiketi ya chama chake na hakufanikiwa kupata kura za kutosha na aliishia kupata nafasi ya 5 na baada ya hapo akaja kuteuliwa kuwa mkurugenzi Arusha na baada ya kugombana huko na mkuu wa wilaya huko ndiyo akaja kupewa hiko cheo alichonacho sasa hivi.

Sasa kwa mazingira kama hayo mnadhani hata ningekuwa mimi naanzaje kumkataa mtu ambaye amenipa ugali hahahahaha tuendelee kujichekesha maana safari bado kubwa sana.

Na kwa jinsi ninavyowaona CHADEMA wanavyofanya hizo kampeni zao ni kama hawakujiandaa kabisa tuwe tu wakweli kulidondosha jiwe kunahitaji support kubwa sana na mbinu lukuki za kampeni kwa staili yoyote ile.

Niwatakie kazi njema katika kulitumikia taifa na tuwe wazalendo wa kweli katika kuisogeza nchi yetu mahali panapostahili.
 
Mbinu za kuitoa CCM ni watanzania KUJIAMBUA NA KUINYIMA KURA HATA MOJA.

Nchi inapotenza utengamano wa kitaifa.
Rais analeta ukabira.
Kutekana.
Ajira.
Kuharibu diplomasia ya nchi.
Kukandamiza vyombo vya Habari na

UDIKTETA UCHWARA
 
Mkuu sio kwamba watu hawaoni matatizo ya ccm ila watu hawaoni chama ambacho kinaonesha muolekeo wa kuwa ndio mbadala wa ccm,vyama vingi vinaonekana tu kutaka kuiondoa ccm na kuingia wao madarakani ila havioneshi kama vina masuluhisho na kwanini tuwachague wao? na ndiyo maana huwa inaonekana kama kuchagua upinzani ni kama kufanya majaribio.
 
huyu raisi no mkabila kupita maelezo,hajui diplomasia,nyie mchekeeni
 
Kuiondoa ccm madarakani si kazi kubwa Sana Kama unavyodhani. Wananchi wengi wanapenda mabadiliko. Tatizo Ni katiba. Ndo Mana unapata mkurugenzi wa uchaguzi ambaye Ni kada. Siku yakibadilishwa hayo ccm chalii
 
Sote tunakatwa CCM kama wazee wetu walivyo mkataba mkoloni na kumng'oa huku Afrika kwa kura na kwa marungu.

Wazee hawakumchekea mkoloni. Kumbuka mkoloni ni mkoloni tu hata awe mswahili kama sisi ni mkoloni tu na ni lazima ang'oke kwa mbinu yoyote iliyopo na isiyokuwepo
 
Kama sikosei huyu ndiye aliyemyangaza mbunge Nasari japo kulikuwa na shinikizo kubwa kumkata
 
Wewe mleta mada unaweza ukatueleza nchi za Africa ambako vyama tawala vimeangushwa ,kama Kanu ya Kenya , Unip Zambia ,Ghana , Malawi kwani ilitumika mbinu gani ? Kwanza CCM imejaa vilaza wa kutupa hawajui siasa wala mbinu zaidi ya kusaidiwa na dola , soma kitabu hiki hata mwenyekiti wako Jiwe hajawahi hata kukiona ngumbalu wa kihutu .
IMG_20200910_181415_9.jpg
 
Mbinu za kuishinda ccm...
1. Kuandamana wote walioenguliwa warudishe tena bila masharti yoyote
2. Kutokybali kuibiwa kura
3. Kuhakikisha mawakala wetu wote wanapata nakala ya matoleo
4. Washindi wetu lazima watangazwe na wasipotangazwa ni kuingia barabarani mara moja.....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
 
Sote tunakatwa CCM kama wazee wetu walivyo mkataba mkoloni na kumng'oa huku Afrika kwa kura na kwa marungu.

Wazee hawakumchekea mkoloni. Kumbuka mkoloni ni mkoloni tu hata awe mswahili kama sisi ni mkoloni tu na ni lazima ang'oke kwa mbinu yoyote iliyopo na isiyokuwepo
Onyesha mfano, tukuige na sio kuandika tu hapa😄!
 
Habari za jion wakuu,
Kama nilivyoeleza hapo juu kiukweli nimejitahidi kufatilia hizi vuguvugu za uchaguzi kupitia vyama vyote vikiwemo vya upinzani na hata chama tawala nikakaa nikawaza nikasema hapana ngoja niandike kitu..

Jamani napenda kusema kwamba tusijidanganye kama CHADEMA wanaweza kukitoa chama tawala kilichoshikilia dola kwa staili hii wanayoenenda nayo, nasema tena nikujidanganya kwa kiwango cha barabara za mkulu.

Kwasababu moja ambayo nadhani wapinzani wanaijua au hawaijui kwanini nasema hivyo ni kutokana na huyo mkurugenzi mkuu wa tume ya uchaguzi ni kada tena kada kindakindaki

Mwaka 2015 aligombea jimbo la Ubungo kwa tiketi ya chama chake na hakufanikiwa kupata kura za kutosha na aliishia kupata nafasi ya 5 na baada ya hapo akaja kuteuliwa kuwa mkurugenzi Arusha na baada ya kugombana huko na mkuu wa wilaya huko ndiyo akaja kupewa hiko cheo alichonacho sasa hivi.

Sasa kwa mazingira kama hayo mnadhani hata ningekuwa mimi naanzaje kumkataa mtu ambaye amenipa ugali hahahahaha tuendelee kujichekesha maana safari bado kubwa sana.

Na kwa jinsi ninavyowaona CHADEMA wanavyofanya hizo kampeni zao ni kama hawakujiandaa kabisa tuwe tu wakweli kulidondosha jiwe kunahitaji support kubwa sana na mbinu lukuki za kampeni kwa staili yoyote ile.

Niwatakie kazi njema katika kulitumikia taifa na tuwe wazalendo wa kweli katika kuisogeza nchi yetu mahali panapostahili.
Nini kifanyike, usiishie kulalamika tu
 
Mbinu za kuishinda ccm...
1. Kuandamana wote walioenguliwa warudishe tena bila masharti yoyote
2. Kutokybali kuibiwa kura
3. Kuhakikisha mawakala wetu wote wanapata nakala ya matoleo
4. Washindi wetu lazima watangazwe na wasipotangazwa ni kuingia barabarani mara moja.....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
Kuingia wapi 😳?
 
Kuiondoa ccm madarakani si kazi kubwa Sana Kama unavyodhani. Wananchi wengi wanapenda mabadiliko. Tatizo Ni katiba. Ndo Mana unapata mkurugenzi wa uchaguzi ambaye Ni kada. Siku yakibadilishwa hayo ccm chalii
Mkuu wananchi wangekuwa wanapenda mabadiliko basi tusingekuwa tunaona wanaenda kujazana kwenye mikutano ya ccm,kama hadi sasa wananchi wakiwekewa wasanii wanaenda kujazana kwenye mikutano ya ccm ni wazi hawa wananchi hawajajitambua vya kutosha maana kujazana kwao kwenye mikutano ya ccm kunahalalisha wizi wa ccm maana inaonekana kumbe bado ina watu wengi tu inaowapenda.

Hivyo kuitoa ccm sio kazi rahisi ikiwa wananchi wenyewe hawana uelewa na kushindwa kubadilika wao wenyewe kabla ya kutaka mabadiliko.
 
Wewe mleta mada unaweza ukatueleza nchi za Africa ambako vyama tawala vimeangushwa ,kama Kanu ya Kenya , Unip Zambia ,Ghana , Malawi kwani ilitumika mbinu gani ? Kwanza CCM imejaa vilaza wa kutupa hawajui siasa wala mbinu zaidi ya kusaidiwa na dola , soma kitabu hiki hata mwenyekiti wako Jiwe hajawahi hata kukiona ngumbalu wa kihutu .View attachment 1565651
Ccm hawasaidiwi na dola tu bali hata na hao wananchi wenyewe nao ni vilaza kwa kwenda kujazana kwenye mikutano ya ccm na hilo pia huwasaidia ccm kuonekana kuwa bado inapendwa na watu.

Yani kama ndio kwanza wananchi wanawaza kufuata kuangalia wasanii kwenye mikutano ya ccm ni wazi hao wananchi ni vilaza hawajitambui na bado hawako teyari kwa ajiri ya mabadiliko.
 
Wananchi wanauelewa sana tu, kinachowakwaza watanzania ni kukosa chama mbadala wa CCM. Vyama vya uoinzani vilivyopo ni vya udini, ukanda na ukabila.

Back
Top Bottom