Uchaguzi 2020 Kuiondoa CCM madarakani kunahitaji kujitoa tena kujitoa haswa

Ehee na mbinu za kumtoa zitaje

WATUMISHI WA TUME YA UCHAGUZI WASIWE WATEULE WA RAIS.

WASIWE WANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA KWA MIAKA MITATU (3) KABLA YA UCHAGUZI.

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WASIWE WASIMAMIZI WA UCHAGUZI.
 
Ningewaona wako serious bas wangewapigania wale wote walioondolewa waludishwe kwa namna ytt ile yaan hapo kweli ningewaona wanamaana..

Lakin chakushangaza chadema kama chadema wao kwa wao hawana umoja yaani wabunge wao wengi wameondolewa kwenye kinyang'anyilo baada wangeonesha mfano wakupambana ili hao wengine waludishwe cha ajabu kila mtu anaangaika kwa ypande wako hhahahah hiv kwahuo mfano mdogo tu unadhan wataweza kupambana pindi pale tu watakapo ibiwa kura?????
Nini kifanyike, usiishie kulalamika tu
 
Bungeni kwa nini budget mbadala hazisomwi kwa kuwa zitawaamsha watanzania ..Spika atafanya kila ya aina ya figisu zisisomwe..amka Mtanzania hao Chadema kuna watu wanaakili balaa..umeona kilichomtokea Seif..Chadema walizima kwa kumpinga Magufuri..Wale CUF wakaingia mitini
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba Chadema ndio inafaa kuwa chama mbadala wa ccm? na kwamba Chadema ndio suluhisho?
 
Ni Kweli kabisa maana Maccm yenyewe yanatumia:
. Magari na ndege za serikali
. Pesa mabilioni ya Corona waliyochanga wafanyabiashara kwa kulazimishwa
. Pesa walizonyang'anya wafanyabiashara kwa kesi za kutunga eti wakubali makosa
. Pesa zilizopotea kimazingara 1.5tn zilizopelekea hata CAG mzalendo kufukuzwa kazi
. Ufisadi wa manunuzi ya siri ya ndege na ujenzi wa chato zote zimepelekwa kampeni ccm....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
 
Tumpe kura Lisu ,unataka umpe Nani?
 
Pili aliwahi kuwa campaign manager wa mbunge Nilodi Mkono
 
author nan mkuu
 
Mbinu za kuitoa CCM ni watanzania KUJIAMBUA NA KUINYIMA KURA HATA MOJA.

Nchi inapotenza utengamano wa kitaifa.
Rais analeta ukabira.
Kutekana.
Ajira.
Kuharibu diplomasia ya nchi.
Kukandamiza vyombo vya Habari na

UDIKTETA UCHWARA
Kujiambua ndio lugha gani
 
Inabidi tuandike wosia mapema, yaani kabla ya kuthubutu kuiondoa. Chama kikongwe kilichobakia kusini mwa jangwa la sahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…