Uchaguzi 2020 Kuiondoa CCM madarakani kunahitaji kujitoa tena kujitoa haswa

Uchaguzi 2020 Kuiondoa CCM madarakani kunahitaji kujitoa tena kujitoa haswa

Ehee na mbinu za kumtoa zitaje

WATUMISHI WA TUME YA UCHAGUZI WASIWE WATEULE WA RAIS.

WASIWE WANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA KWA MIAKA MITATU (3) KABLA YA UCHAGUZI.

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WASIWE WASIMAMIZI WA UCHAGUZI.
 
Ningewaona wako serious bas wangewapigania wale wote walioondolewa waludishwe kwa namna ytt ile yaan hapo kweli ningewaona wanamaana..

Lakin chakushangaza chadema kama chadema wao kwa wao hawana umoja yaani wabunge wao wengi wameondolewa kwenye kinyang'anyilo baada wangeonesha mfano wakupambana ili hao wengine waludishwe cha ajabu kila mtu anaangaika kwa ypande wako hhahahah hiv kwahuo mfano mdogo tu unadhan wataweza kupambana pindi pale tu watakapo ibiwa kura?????
Nini kifanyike, usiishie kulalamika tu
 
Mkuu sio kwamba watu hawaoni matatizo ya ccm ila watu hawaoni chama ambacho kinaonesha muolekeo wa kuwa ndio mbadala wa ccm,vyama vingi vinaonekana tu kutaka kuiondoa ccm na kuingia wao madarakani ila havioneshi kama vina masuluhisho na kwanini tuwachague wao? na ndiyo maana huwa inaonekana kama kuchagua upinzani ni kama kufanya majaribio.
Bungeni kwa nini budget mbadala hazisomwi kwa kuwa zitawaamsha watanzania ..Spika atafanya kila ya aina ya figisu zisisomwe..amka Mtanzania hao Chadema kuna watu wanaakili balaa..umeona kilichomtokea Seif..Chadema walizima kwa kumpinga Magufuri..Wale CUF wakaingia mitini
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba Chadema ndio inafaa kuwa chama mbadala wa ccm? na kwamba Chadema ndio suluhisho?
 
Ni Kweli kabisa maana Maccm yenyewe yanatumia:
. Magari na ndege za serikali
. Pesa mabilioni ya Corona waliyochanga wafanyabiashara kwa kulazimishwa
. Pesa walizonyang'anya wafanyabiashara kwa kesi za kutunga eti wakubali makosa
. Pesa zilizopotea kimazingara 1.5tn zilizopelekea hata CAG mzalendo kufukuzwa kazi
. Ufisadi wa manunuzi ya siri ya ndege na ujenzi wa chato zote zimepelekwa kampeni ccm....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
 
Habari za jion wakuu,
Kama nilivyoeleza hapo juu kiukweli nimejitahidi kufatilia hizi vuguvugu za uchaguzi kupitia vyama vyote vikiwemo vya upinzani na hata chama tawala nikakaa nikawaza nikasema hapana ngoja niandike kitu..

Jamani napenda kusema kwamba tusijidanganye kama CHADEMA wanaweza kukitoa chama tawala kilichoshikilia dola kwa staili hii wanayoenenda nayo, nasema tena nikujidanganya kwa kiwango cha barabara za mkulu.

Kwasababu moja ambayo nadhani wapinzani wanaijua au hawaijui kwanini nasema hivyo ni kutokana na huyo mkurugenzi mkuu wa tume ya uchaguzi ni kada tena kada kindakindaki

Mwaka 2015 aligombea jimbo la Ubungo kwa tiketi ya chama chake na hakufanikiwa kupata kura za kutosha na aliishia kupata nafasi ya 5 na baada ya hapo akaja kuteuliwa kuwa mkurugenzi Arusha na baada ya kugombana huko na mkuu wa wilaya huko ndiyo akaja kupewa hiko cheo alichonacho sasa hivi.

Sasa kwa mazingira kama hayo mnadhani hata ningekuwa mimi naanzaje kumkataa mtu ambaye amenipa ugali hahahahaha tuendelee kujichekesha maana safari bado kubwa sana.

Na kwa jinsi ninavyowaona CHADEMA wanavyofanya hizo kampeni zao ni kama hawakujiandaa kabisa tuwe tu wakweli kulidondosha jiwe kunahitaji support kubwa sana na mbinu lukuki za kampeni kwa staili yoyote ile.

Niwatakie kazi njema katika kulitumikia taifa na tuwe wazalendo wa kweli katika kuisogeza nchi yetu mahali panapostahili.
Tumpe kura Lisu ,unataka umpe Nani?
 
Pili aliwahi kuwa campaign manager wa mbunge Nilodi Mkono
 
Wewe mleta mada unaweza ukatueleza nchi za Africa ambako vyama tawala vimeangushwa ,kama Kanu ya Kenya , Unip Zambia ,Ghana , Malawi kwani ilitumika mbinu gani ? Kwanza CCM imejaa vilaza wa kutupa hawajui siasa wala mbinu zaidi ya kusaidiwa na dola , soma kitabu hiki hata mwenyekiti wako Jiwe hajawahi hata kukiona ngumbalu wa kihutu .View attachment 1565651
author nan mkuu
 
Mbinu za kuitoa CCM ni watanzania KUJIAMBUA NA KUINYIMA KURA HATA MOJA.

Nchi inapotenza utengamano wa kitaifa.
Rais analeta ukabira.
Kutekana.
Ajira.
Kuharibu diplomasia ya nchi.
Kukandamiza vyombo vya Habari na

UDIKTETA UCHWARA
Kujiambua ndio lugha gani
 
Inabidi tuandike wosia mapema, yaani kabla ya kuthubutu kuiondoa. Chama kikongwe kilichobakia kusini mwa jangwa la sahara.
 
Back
Top Bottom