Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20.
Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20 harafu eti wanaibuka watu fulani wanasema China atakuja kuipita Marekani 2060
Hiyo ni alinacha kama sio ndoto zombie kwanza Musk tayari naona kavunja recoding ya Mansa Mussa yule tajiri zaidi kutoka Afrika magharibi maana jamaa wanakadilia kwa sasa angekuwa na 400 kavu sasa Musk imeongezeka 44.
Hapa China kijasho cha kwapa anacho mpaka mwisho