una hoja,Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajili nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20 ..........daaa marekani kaingiza watu 14.........yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20.........harafu eti wanaibuka mbwa koko fulani wanasema china atakuja kuipita marekani 2060.........hiyo ni alinacha kama sio ndoto zombie.......kwanza musk tayari naona kavunja recoding ya mansa mussa yule tajili zaidi kutoka afrika magharibi maana jamaa wanakadilia kwa sasa angekuwa na 400 kavu sasa musk imeongezeka 44.................hapa china kijasho cha kwapa anacho .........mpaka mwisho
Projection ya uchumi wa dunia ya miaka 50 ijayo inasemaje au tuongeze tufanye miaka 100 ijayo ?Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20.
Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20 harafu eti wanaibuka watu fulani wanasema China atakuja kuipita Marekani 2060
Hiyo ni alinacha kama sio ndoto zombie kwanza Musk tayari naona kavunja recoding ya Mansa Mussa yule tajiri zaidi kutoka Afrika magharibi maana jamaa wanakadilia kwa sasa angekuwa na 400 kavu sasa Musk imeongezeka 44.
Hapa China kijasho cha kwapa anacho mpaka mwisho
View attachment 3185901
Kila kitu na wakati wake Bill Gate was once a richest man in the world but now yupo nafasi ya Saba akipigwa gape la mbali sana na Elon Musk.Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20.
Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20 harafu eti wanaibuka watu fulani wanasema China atakuja kuipita Marekani 2060
Hiyo ni alinacha kama sio ndoto zombie kwanza Musk tayari naona kavunja recoding ya Mansa Mussa yule tajiri zaidi kutoka Afrika magharibi maana jamaa wanakadilia kwa sasa angekuwa na 400 kavu sasa Musk imeongezeka 44.
Hapa China kijasho cha kwapa anacho mpaka mwisho
View attachment 3185901
Huyo bado tajili mpaka mwili na roho yake.........ndiye tajiri anayeongoza kwa kutoa pesa zake ........hata huko kushuka ni baada ya kutoa pesa zake nyingi sana .........yaani kwa kifupi bill gate ni tajiri mpaka rohoniKila kitu na wakati wake Bill Gate was once a richest man in the world but now yupo nafasi ya Saba akipigwa gape la mbali sana na Elon Musk.