Kuishabikia Arsenal kunahitaji uwe na moyo kama Alshabaab

Kuishabikia Arsenal kunahitaji uwe na moyo kama Alshabaab

Hivi hao wachezaji Wa arsenal uliowataja hapo wanalingana uwezo na hao watotot Wa man u ktk ukinda wao? Ulimuona vema scholes, Beckham na giggs enzi za umri huo walochukua ubingwa!?
Hawalingani hata kidogo,cos hawa Class of 92 ni Natural gifted players world class,lakini hawa wakina Iwobi,Ramsey, Elneny,Berellin they r talented so if they put in hard work,they cn achieve what seem 2b impossible
 
Kunakipindi 90's Ferguson aliambiwa u can't win anything with Kids hicho kipindi aliwaacha wakongwe waondoke kama Bryan Robinson,Paul Ince,Mark Hughes nakuanza kuwatumia makinda Ryan Giggs,Paul Scholes,Gary Neville, Phil Neville, Nick Butt,David Beckham
Lakini msimu huo Timu iliyumba xana mwanzoni mwa Ligi,but mwisho wa msimu wakawa Mabingwa wa Uingereza na baadae walikuja kushinda Treble
Soo inawezekana kushinda na wakina Iwobi as long as Iwobi,Elneny,Welbeck,Ramsey they Do believe that they can do it,cos Wenger yy haingii uwanjani kucheza,soo kama anaamini yy mwenyewe ni kazi bure
Tatizo hao akina Iwobi hawaamini kama wanaweza kushinda..Ni kama wanabahatisha. Kikosi cha arsenal hakina leaders,wachezaji hawako committed na hawana uwezo wa kupambana na Big 5. Yan ni vurugu tu.
 
Back
Top Bottom