Kunakipindi 90's Ferguson aliambiwa u can't win anything with Kids hicho kipindi aliwaacha wakongwe waondoke kama Bryan Robinson,Paul Ince,Mark Hughes nakuanza kuwatumia makinda Ryan Giggs,Paul Scholes,Gary Neville, Phil Neville, Nick Butt,David Beckham
Lakini msimu huo Timu iliyumba xana mwanzoni mwa Ligi,but mwisho wa msimu wakawa Mabingwa wa Uingereza na baadae walikuja kushinda Treble
Soo inawezekana kushinda na wakina Iwobi as long as Iwobi,Elneny,Welbeck,Ramsey they Do believe that they can do it,cos Wenger yy haingii uwanjani kucheza,soo kama anaamini yy mwenyewe ni kazi bure