Kuishi bila kufanya ngono ni salama zaidi na unaongeza furaha zaidi maishani

ssl

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
138
Reaction score
102
Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani.

Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya uwe na furaha. JIBU NI HAPANA. kijana acha ngono au zinaa. Subiri muda ufike uoe utulie na mke wako.
 
Inaonekana hujawahi kushikwa na nyyege wewe
 
Mkuu ww ndiye upotoshae watu. Mtu afanyae mapenzi anafuraha zaid ya yule asiyefanya hilo lipo wazi ata kiafya mapenzi ni dawa tosha tu ya msongo wa mawazo na mengin mengi hila unachotakiwa kusema hapa ni kuwaonya tu vijan na mabinti wasianza kufanya kabla ya kuingia kwenye ndoa na wanandoa pia wafnye kwa wastani tu sio kila saa kudandiana...!
 
Kumbe wanafunzi wa kidato cha sita ndiyo wamemaliza shule juzi ndiyo maana tunapata shida hapa jukwaani.
 
kuna wakati marafiki zangu walinishangaa sana kwa nini sifanyi ngono, ila sasa wanaelewa kwa nini sikufanya ngono na bado nasubiri nifunge pingu za maisha kwanza. wanatamani warudi kama zamani.
 
Mmmh ! wewe kwani hiyo nyege inalazimisha ufanye ngono ?? au will power yako ndiyo muamuzi !! (ina maana kila mweneye nyege akafanye ) khaah... Mbona kuna njia nyingi za kujicontrol.

msaada kidogo angalau hata njia moja tu nijuze,bora uumwe na kichwa utameza hata panadol sio nyege.
 
kwa hio ukiwa ndani ya ndoa ngono haifanyiki au? au ya kwenye ndoa ndio haina madhara.
 
kuna wakati marafiki zangu walinishangaa sana kwa nini sifanyi ngono, ila sasa wanaelewa kwa nini sikufanya ngono na bado nasubiri nifunge pingu za maisha kwanza. wanatamani warudi kama zamani.

Best umeona enhhh" hakuna kitu kizuri kujiona kuwa una uwezo wakucontrol mwili wako siyo kupelekeshwa ovyo na hisia za kimwili.
 
Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani.

Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya uwe na furaha. JIBU NI HAPANA. kijana acha ngono au zinaa. Subiri muda ufike uoe utulie na mke wako.

Asante kwa taarifa yako. Imenipa matumaini.
 
  • Thanks
Reactions: ssl
Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani.

Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya uwe na furaha. JIBU NI HAPANA. kijana acha ngono au zinaa. Subiri muda ufike uoe utulie na mke wako.

Sasa hapa ndipo tunakuna kwnye swala la Tafiti .

Sikusave hiyo Source . !

Lakini kuna watu walifanya research (psychologist) na wakagundua ,mtu asiyefanya ngono anakua na hali ya hasira kila wakati .

Mm binafsi naona hoja yako na hoja ya hao wachunguzi zote zinaweza kuwa sawa kwa namna hii.

Kwa aliyeshawahi kufanya.( yaani asiye bikra ) na akaacha kwa kipindi fulani ,anaweza kua hali hiyo ya hasira ,kama walivyochunguza hao wanasaikologia.

na

Kwa ambaye hajawahi kufanya kabisa (aliye bikra ) ,anaweza akawa na furaha . (kama usemavyo ww ).
 
  • Thanks
Reactions: ssl
kuna wakati marafiki zangu walinishangaa sana kwa nini sifanyi ngono, ila sasa wanaelewa kwa nini sikufanya ngono na bado nasubiri nifunge pingu za maisha kwanza. wanatamani warudi kama zamani.

unahika na uamuzi wako
 
msaada kidogo angalau hata njia moja tu nijuze,bora uumwe na kichwa utameza hata panadol sio nyege.
Mkuu nikupe msaada wa dawa.... ili uweze zuia nyege lako lisikupande akilini, kunywa maji ya moto glass 3 (asbu/mchan/usiku) au tumia shubiri urambe upatapo mhemko!!
 
  • Thanks
Reactions: ssl
Mfalme Sulemani alimwona kijana akishawishiwa kufanya ngono kabla ya ndoa. Sulemani alimlinganisha kijana huyo na "ng'ombe-dume anayeenda machinjoni." Ng'ombe-dume anayeenda kuchinjwa hajui kitakachompata. Mara nyingi vijana wanaojihusisha na ngono kabla ya ndoa hutenda vivyo hivyo, kana kwamba hawajui madhara makubwa yatakayowapata! Sulemani alisema hivi kuhusu kijana huyo: "Hajajua kwamba nafsi yake mwenyewe inahusika."
 
Back
Top Bottom