stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Kwahiyo ukisha kuwa na mke mtakachokuwa mnakifanya ni nini sio ngono ile?kuwa uyaone wewe inaonekana junior sana kwenye haya mambo.What you were supposed to say ni kuwa wasifanye ngono zembe,kuna umri ukishafika kitu inaitwa genye haiepukiki mkuu.Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani.
Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya uwe na furaha. JIBU NI HAPANA. kijana acha ngono au zinaa. Subiri muda ufike uoe utulie na mke wako.