Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani.
Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya uwe na furaha. JIBU NI HAPANA. kijana acha ngono au zinaa. Subiri muda ufike uoe utulie na mke wako.
Inaonekana hujawahi kushikwa na nyyege wewe
hakika
Inaonekana hujawahi kushikwa na nyyege wewe
Wewe huwezi kukaa bila ngono?
Mmmh ! wewe kwani hiyo nyege inalazimisha ufanye ngono ?? au will power yako ndiyo muamuzi !! (ina maana kila mweneye nyege akafanye ) khaah... Mbona kuna njia nyingi za kujicontrol.
jibu jeupeee kwanin nijibane
kuna wakati marafiki zangu walinishangaa sana kwa nini sifanyi ngono, ila sasa wanaelewa kwa nini sikufanya ngono na bado nasubiri nifunge pingu za maisha kwanza. wanatamani warudi kama zamani.
Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani.
Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya uwe na furaha. JIBU NI HAPANA. kijana acha ngono au zinaa. Subiri muda ufike uoe utulie na mke wako.
Kuna watu wamekuwa wakipotosha ukweli kwamba ngono inachosha mwili na pia inafupisha siku za kuwepo duniani. Watu ambao ni mabikira wana furaha zaidi hapa duniani kuliko mtu yeyote yule na huishi siku nyingi zaidi duniani.
Tusiwadanganye vijana eti ngono inaongeza siku za kuishi na inakufanya uwe na furaha. JIBU NI HAPANA. kijana acha ngono au zinaa. Subiri muda ufike uoe utulie na mke wako.
kuna wakati marafiki zangu walinishangaa sana kwa nini sifanyi ngono, ila sasa wanaelewa kwa nini sikufanya ngono na bado nasubiri nifunge pingu za maisha kwanza. wanatamani warudi kama zamani.
Mkuu nikupe msaada wa dawa.... ili uweze zuia nyege lako lisikupande akilini, kunywa maji ya moto glass 3 (asbu/mchan/usiku) au tumia shubiri urambe upatapo mhemko!!msaada kidogo angalau hata njia moja tu nijuze,bora uumwe na kichwa utameza hata panadol sio nyege.