Kuishi bila kufanya ngono ni salama zaidi na unaongeza furaha zaidi maishani

Kwahiyo ukisha kuwa na mke mtakachokuwa mnakifanya ni nini sio ngono ile?kuwa uyaone wewe inaonekana junior sana kwenye haya mambo.What you were supposed to say ni kuwa wasifanye ngono zembe,kuna umri ukishafika kitu inaitwa genye haiepukiki mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…