mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini.
Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake
Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo kamshahara ka huku alikaona ni hela ya soda japo yalikuwa mamilioni,taharifa zilivyomfikia magufuli,kilichofuata ni kutumbuliwa tu.utaishije bila kugusa mshahara kwa dunia ya leo.
Hivi karibuni makonda huko Arusha alinukuliwa akisema kuwa tangu arudishwe mjini huwa hatumii mshahara wake bali hutumia pesa hizo kutoa sadaka kwa Mungu.
Kwa muktadha huo makonda amejiweka kindi moja na akina Trump,Shabibyna wafanyabiashara wengine.
Atuonyeshe biashara zake au na yeye atumbuliwe.
Hii ni dalili ya mtu kula rushwa ,matrafic wa nchini pia wana haka kamchezo.
hawagusi mishahara sababu ya rushwa barabarani.