Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Kuna baadhi ya watu wameamua kutokuwa na watoto na wana sababu zao za msingi,
Sababu zao,
EWE KAPUKU! UNAPOONA MTU HANA MTOTO USIJIPE UMUHIMU WA KUMSEMA MAANA HUJUI SABABU YA YEYE KUCHAGUA MAISHA HAYO.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
Sababu zao,
- Hawataki kujipa kazi ya kulea kwasababu kulea ni kazi kama kazi nyengine uzijuazo.
- Hawataki matatizo endapo mtoto akiwa pasua kichwa mbeleni
- Hawaamini kuwa wanaweza kuwa wazazi bora kwa mtoto n.k
EWE KAPUKU! UNAPOONA MTU HANA MTOTO USIJIPE UMUHIMU WA KUMSEMA MAANA HUJUI SABABU YA YEYE KUCHAGUA MAISHA HAYO.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷