Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi.
Kuishi Mara na Geita inabidi uwe na ulinzi Bunduki au Bastola pia na mafunzo maalum nawaonea huruma wanaoishi humo.
Kuishi Mara na Geita inabidi uwe na ulinzi Bunduki au Bastola pia na mafunzo maalum nawaonea huruma wanaoishi humo.