Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Kwaiyo mikoa mingine watu awafi
Umesahau Moshi na Kilimanjaro piaHiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi.
Kuishi Mara na Geita inabidi uwe na ulinzi Bunduki au Bastola pia na mafunzo maalum nawaonea huruma wanaoishi humo.
Sio kweli una chuki !!!Umesahau Moshi na Kilimanjaro pia
Kweli kabisa,hali inatisha.Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi.
Kuishi Mara na Geita inabidi uwe na ulinzi Bunduki au Bastola pia na mafunzo maalum nawaonea huruma wanaoishi humo.
Kwani ni sehemu mbili tofauti au??Umesahau Moshi na Kilimanjaro pia
Chuki ya nini sasa, sehemu gani hapa Tanzania wanawake wanaua waume zao kwa ajili ya mali/kurithi mali kutajirisha koo zao?Sio kweli una chuki !!!