Kuishi Geita na Mara ni hatari kwa usalama wako na mali zako

Kwani ni sehemu mbili tofauti au??
Nikimaanisha Moshi manispaa na mkoa wa Kilimanjaro as a whole.....kuna matukio mengi sana ya wanawake kuua waume zao ili kurithi mali na kutajirisha koo zao zilizolaanika.
 
Umesahau Njombe napo kuna matukio mabaya kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…