Kuishi jirani na msikiti na madrasa kwa mkristo je kuna athari yoyote?

Kuishi jirani na msikiti na madrasa kwa mkristo je kuna athari yoyote?

makoye sr

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
308
Reaction score
499
Kuna msikiti na madrasa vinajengwa jirani kabisa na nyumbani kwangu mimi ni mkristo, je wakristo wenzangu wenye uzoefu na mambo hayo nauliza tu kuna shida yoyote kuishi jirani na msikiti?
 
Hakuna shida,mboni wao hao Waislamu wamepakana na makanisa na hawalii noki?

Hayo ni maeneo ya kawaida tu ya mikusanyiko ya kijamii wakimaliza lililowaleta wataondoka wakuachie mtaa wako.
 
Ni kero kwa kweli kama watatumia ma vipaza sauti,mbaya zaidi wanaonge lugha uliyoielewa.

Option pangisha nyumba uondoke hapo mana utakosa utulivu.
 
Ni kero kwa kweli kama watatumia ma vipaza sauti,mbaya zaidi wanaonge lugha uliyoielewa.

Option pangisha nyumba uondoke hapo mana utakosa utulivu.
Nimeshafikiria kuhama tatizo uwezo wa kujenga nyumba nyingine kwa sasa Sina na kupanga siwezi, sijui itakuwaje wakishaanza ibada zao na madrasa
 
Back
Top Bottom