Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ndoa sio kuvaa sare za maua maua zinazofanana.....utalala doro. Suruhisho pekee ni mfumo dume....hata Jehova amebariki hivyo...Baba kichwa cha nyumba...ewe baba mpende mkeo....na wewe mama mtii mumeo
Ndio ukute kasoma soma na DS 101 mambo ya Gender ndo utakoma
 
..hajui huyu,..akileta ligi finito .
 
Wazo zuri hili mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Weweeeeee ndoa ni kufuata maandiko yanasemaje kuhusu ndoa na sio kwa kuwa na wewe unaweka mshahara wako mezani ndio uwe na zarau kwa mmeo
Uweke mshahara mezani au usiweke
Mme wako aweke mshahara mezani au asiweke atabaki kuwa mme na maandiko yanavyosema enyi wanawake watiini waume zenu nanyi wanaume wapendeni wake zetu huo ndio msingi kigezo cha sawa kwa sawa hicho ni mambo ya kidunia ambayo sisi wanadamu tumekiongeza
 
...ila mnatumia sumu au Majambazi,..
 
Kama hali ndio hivi itabid nijipange kwa uvumiliaji kama US na NK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…