Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ndoa sio kuvaa sare za maua maua zinazofanana.....utalala doro. Suruhisho pekee ni mfumo dume....hata Jehova amebariki hivyo...Baba kichwa cha nyumba...ewe baba mpende mkeo....na wewe mama mtii mumeo
Ndio ukute kasoma soma na DS 101 mambo ya Gender ndo utakoma
 
Mwanaume au mumeo si mtu sahihi wa kwenda nae ligi hata siku moja mtazamo wangu hata Kama kakufanyia ubaya we tafuta njia tu ya kutafuta amani ya moyo wako ila sio eti kafanya hivi na mimi nafanya vile utaumia ww.

Just take care of yourself maradufu tu oga hata Mara kumi fundisha watoto wako kuna ving vya kufanya Kama mwanamke zaidi ya kuleta ligi na mwanaume
..hajui huyu,..akileta ligi finito .
 
Tufuate maandiko yanavyotwambia wala hatutapa shida sana...

1. Tumeambiwa mwanamke na amtii mumewe.

2. Mume ampende mkewe.

3. Mwanamke ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Ishinini kwa kuchukuliana kwani hakuna mkamilifu chini ya dunia hii. Fanyeni ibada na msiache kuziombea ndoa zenu
Wazo zuri hili mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Weweeeeee ndoa ni kufuata maandiko yanasemaje kuhusu ndoa na sio kwa kuwa na wewe unaweka mshahara wako mezani ndio uwe na zarau kwa mmeo
Uweke mshahara mezani au usiweke
Mme wako aweke mshahara mezani au asiweke atabaki kuwa mme na maandiko yanavyosema enyi wanawake watiini waume zenu nanyi wanaume wapendeni wake zetu huo ndio msingi kigezo cha sawa kwa sawa hicho ni mambo ya kidunia ambayo sisi wanadamu tumekiongeza
 
Haha walituonea tu. Wakisema wanyaki ni wakorofi/wababe ntawaelewa. In fact sisi sio wakorofi, ni tuna misimamo yetu, hatupelekeshwi kidwanzi, tutakurudisha tu mstarini. Afu na miili yetu nayo bana, kitu kimepanda kule, mwili jumba, kono hiloo teh. Kuhusu kurestisha wanaume, haijawahi kuwa sifa yetu honestly,
...ila mnatumia sumu au Majambazi,..
 
Back
Top Bottom