Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Grace Mugabe ameonyesha mfano wa mwananke mpombavu
 
Ni mwanamke wako tu kiongoz,wanawake ukiwajulia utaiona dunia ni sehem salama zaid ya kuishi,tatzo mnaendekeza ubabe juu yao,bila kusahau wanauwezo kuliko sisi wanaume,ishi nae vzr na msikilize sanaaa utaona raha yake,yyte amnyanyasae mwanamke au kumdharau hawez kuona raha ya dunia hui
 
Eti bi mkubwa si wametuonea jamani? ??
Kuna vitu vingi sana vinavyowezesha ndoa idumu, ila kwa uchache ni;
+Kumuogopa muumba ( for believers)
+Upendo
+Kuvumiliana
.....unapoingia ktk ndoa yapasa ujue kuwa watu mmeumbwa na tabia tofauti, na pia mmelelewa ktk mazingira tofauti, vyote hivi lazima au possibly vinaweza leta kutofautiana ktk ndoa yenu.
Pia utofauti wa elimu mlizonazo kunaweza leta misuguano, ukiwa mmoja umesoma sana mwingine hajasoma kivile au kafeli feli inaweza leta kitu "inferiority complex" ukadhani kila unalosema ndo sahihi na anatakiwa afuate tu, na yeye pia anaweza kuona ume overlook jambo akahofu kukueleza b'se unaamini yeye hawezi kuona kitu kwa usahihi, akikuacha mnapotea wote, na akikuambia unakua mkali.
Lakini pia anaweza kuwa kweli anakosea, ila kwakua anajua yeye hajasoma kuliko wewe anajenga fikra kua kila unapomrekebisha ni kwa sababu tu unajua ye hajasoma so unadharau kila anachofikiria, kumbe ktk hilo upo sahihi. Ukimuacha mnapotea wote
* cha msingi ktk hili ni kueleweshana kwa utaratibu, tena sehem ilotulia, sio mbele za watu au watoto.
Jua kua, ukiwa umesoma na mwingine hajasoma, uelewa wako unachangiwa na "a long and very complicated process of transformation" iloipitia shuleni, ambayo mwenzako hajaipitia, so tegemea kutofautiana, na wala usione "khaa yani haelewi hata hiki kitu kidogo tuu, au khaa yani hawezi kutumia akili ya kawaida tuu"..!, No, that's wrong, wewe unaweza kutumia hiyo akili b'se umeshapitia shule nyingi na uelewa wako ushakua sharpened.
Ni kama mtu aliyekulia familia bora af anataka kuwashangaa maskini kwanini hawawezi kufanikiwa!

All in all, kumuogopa muumba kutasaidia ktk kuepukana na vishawishi vya nje ya ndoa
Upendo utasaidia ktk kutoyaona makosa madogo madogo kama makuuuubwa sana (mtu ukimpenda hata akosee unaweza kupuuzia tu, utapenda kumsikiliza, utapenda kuwa nae ktk kila hali)
Kuvumiliana kutasaidia ktk hali ngumu za maisha, mitihani ya maisha, magonjwa, kuna zile tabia zisizoweza kubadilika kirahisi.

+++unaweza dhani watu flani hawaonekani kugombana ukafkiri ndoa yao ina amani sana, No!, nao wana yao mazito kabisa ambayo ukisimuliwa utakimbia na kuona bora yako.
Pia, waweza udhiwa na mumeo/mkeo hadi ukafkiria bora ya kumuacha ukaoa/olewa mwingine, No,! Unaweza angukia pua zaidi na kuona kumbe yule ulomfikiria ana nafuu, kumbe ilikua gia ya kukupata tuu, baada ya kumuoa/olewa nae, akawa ndo bora ya yule wa kwanza!

Nawasilisha[emoji120]
 
 
Nimesoma comments zote za hii thread, kumbe msimamo wangu bado ni bora zaidi, and i enjoy ma life style, hah hah ha forever young labda baadae snaaaa ntaopt da other altenative.

tupo pamoja mkuu...young,wild and free
 
Endelea kupiga hesab zako vzr,lakin ujue hakuna dunia salama zaid bila kuheshim mwanamke,wala hatuwawez kwa uwezo wa ubongo wao,wala hatuwakaribii hata nusu. Raha ya dunia ni mwanamke tu kubali au kataaa
 
Couldn't have said it better. Barikiwa mpendwa
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…