Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
mmh hayayeah hizo raa kidogo zinafunika hizo kero kede kede
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh hayayeah hizo raa kidogo zinafunika hizo kero kede kede
mmh haya
Si kweli uanaume hauonekani kwenye kuvumilia upuuzi uliozidi kiwangoKuishi na mwanamke kunahitaji akili..na hapo ndo uanaume wako unapotakiwa kuonekana
Wanawake mnazidi lingine linatoka nje mpaka na magonjwa ya zinaa linaleta ndani alafu na matusi vile vile kwa nn usimwonyeshe njia ya kwaoMimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.
Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.
Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Kufanyaje?Aende kwa wanaume
kuishi naoKufanyaje?
Watu now wanaingia kwenye ndoa kwa mashinikizo direct au indirect.....wanawake wanaingia now kwa ajili ya security na kupata kichaka cha kujificha aonekane naye mwenye heshimaUpo sahihi. Kama ni hivyo kwanini bado watu wanaingia kwenye ndoa wakati matatizo yake tunayajua fika? Ni shida kwa kweli..
wanandoa wenyewe wasipoheshimiana hakuna heshima hapo.Watu now wanaingia kwenye ndoa kwa mashinikizo direct au indirect.....wanawake wanaingia now kwa ajili ya security na kupata kichaka cha kujificha aonekane naye mwenye heshima
Si wajua kuna haka kamsemo kakijinga kuwa eti "ukiwa ndoani unakuwa wa heshima"
But after few year reality inajidhihirisha wazi na ndio shida inapoanza.
Yes but lazima kabla mtu hajaingia kwenye ndoa ajibu hili swali.kiuwazi zaidiwanandoa wenyewe wasipoheshimiana hakuna heshima hapo.
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Yani msukuma mie wa kolomijei ukiwa hiviii..aaah hata mshahara wangu ntakua nakukabidhi woote..yani cha msingi ujue what or when to address matters...usilete ligi...maana i will break you mentally and physically to get mypoint in that thick skull.Mwanaume au mumeo si mtu sahihi wa kwenda nae ligi hata siku moja mtazamo wangu hata Kama kakufanyia ubaya we tafuta njia tu ya kutafuta amani ya moyo wako ila sio eti kafanya hivi na mimi nafanya vile utaumia ww.
Just take care of yourself maradufu tu oga hata Mara kumi fundisha watoto wako kuna ving vya kufanya Kama mwanamke zaidi ya kuleta ligi na mwanaume
umeamua kuwala hao wadada wa kazi?House girls wanatupunguzia machungu ya NdolaNdola
Unajua maana ya ndoa kweli mkuu?TEHE TEHE MADA IMENOGAAAA:-D
KUKAA NA MWANAMKE NI RAHISI SANA...NGOJA NIWAFUNGUE UBONGO...
KWANZA LAZIMA UWE NA SERA THABITI KABLA HUJAMUOA NA UZISIMAMIE HATA UKIMUOA..
SIMU HUWEKI PASSWORD ILA NI MARUFUKU KUSHIKA AMA KUPOKEA SIMU ZAKO.
PIA NI MARUFUKU KUMUAMBIA UNAINGIZA AU UNAPOKEA KIASI GANI CHA PESA.(HII ITAONDOA DHARAU MBELENI)
NI MARUFUKU KUANIKA MALI ZAKO ZOTE KWA MKEO..ANAPASWA KUFAHAMU CHACHE TU.
NI MARUFUKU MWANAMKE KUENDESHA GARI LAKO (KAMA UNA UWEZO MNUNULIE LAKE)
NI MARUFUKU KUVAA SURUALI AU KUSHONEA NYWELE ZA KATANI KICHWANI (HII ITAFANYA MKEO ASIWE NA MAMBO MENGI YASIYONATIJA)
KAMA MUNGU KAKUJAALIA KUJENGA NYUMBA..HAKIKISHA UNAJENGA CHUMBA CHAKO NA CHA MKE PEKEYAKE..(HII ITAKUSAIDIA KUPATA MAFICHO PINDI MTAKAPOGOMBANA NDANI YA NYUMBA).MFANO MUME AU MKE AKIMMISS MWENZIE ANAMUOMBA AKALALE CHUMBANI KWAKE..NA KAMA MTU HAITAJI KELELE BASI NI FURSA KWAKE KWENDA ROOM KWAKE KUPUMZIKA.