Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Mimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.

Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.

Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Wanawake mnazidi lingine linatoka nje mpaka na magonjwa ya zinaa linaleta ndani alafu na matusi vile vile kwa nn usimwonyeshe njia ya kwao
 
Ishini nao kwa akili na mkishindwa amna umuhim wa kuishi nao. Ata mtume Paul alitusii sana kuhusu hawa watu. Ni wanaume wangapi wanakuwa vichaa, au kufa kwa ajili ya hchi kiumbe mwanamke.Na falme zote tangu Dunia inaumbwa zimeanguka kwa ajili ya mwanamke. Labda niwambie kitu kimoja wanaume wenzangu ilikuitwa mwanaume siyo uwe na mali Sana, usome sanaa, au uwe Star sana. Mwanamme kamili nieyule mwenye msimamo na asiyeyumbishwa na anayefanya maamuz yanayomfaa yeyee na nafsi yake. Ss kama kuna wanaoishi na wake zao kwenye wakati Mgum na kujidanganya tumeumbwa kuvumilia huo ni uzaifu mmoja wapo. Kwan imeandikwa ata mnyaz mungu huwa anaghadhafika mwanamke anapokuwa na sauti ndani ya mji. So tujipime kwa hlo.
 
Upo sahihi. Kama ni hivyo kwanini bado watu wanaingia kwenye ndoa wakati matatizo yake tunayajua fika? Ni shida kwa kweli..
Watu now wanaingia kwenye ndoa kwa mashinikizo direct au indirect.....wanawake wanaingia now kwa ajili ya security na kupata kichaka cha kujificha aonekane naye mwenye heshima
Si wajua kuna haka kamsemo kakijinga kuwa eti "ukiwa ndoani unakuwa wa heshima"
But after few year reality inajidhihirisha wazi na ndio shida inapoanza.
 
wanandoa wenyewe wasipoheshimiana hakuna heshima hapo.
 
Mwanaume au mumeo si mtu sahihi wa kwenda nae ligi hata siku moja mtazamo wangu hata Kama kakufanyia ubaya we tafuta njia tu ya kutafuta amani ya moyo wako ila sio eti kafanya hivi na mimi nafanya vile utaumia ww.

Just take care of yourself maradufu tu oga hata Mara kumi fundisha watoto wako kuna ving vya kufanya Kama mwanamke zaidi ya kuleta ligi na mwanaume
Yani msukuma mie wa kolomijei ukiwa hiviii..aaah hata mshahara wangu ntakua nakukabidhi woote..yani cha msingi ujue what or when to address matters...usilete ligi...maana i will break you mentally and physically to get mypoint in that thick skull.
 
TEHE TEHE MADA IMENOGAAAA:-D
KUKAA NA MWANAMKE NI RAHISI SANA...NGOJA NIWAFUNGUE UBONGO...
KWANZA LAZIMA UWE NA SERA THABITI KABLA HUJAMUOA NA UZISIMAMIE HATA UKIMUOA..
SIMU HUWEKI PASSWORD ILA NI MARUFUKU KUSHIKA AMA KUPOKEA SIMU ZAKO.
PIA NI MARUFUKU KUMUAMBIA UNAINGIZA AU UNAPOKEA KIASI GANI CHA PESA.(HII ITAONDOA DHARAU MBELENI)
NI MARUFUKU KUANIKA MALI ZAKO ZOTE KWA MKEO..ANAPASWA KUFAHAMU CHACHE TU.
NI MARUFUKU MWANAMKE KUENDESHA GARI LAKO (KAMA UNA UWEZO MNUNULIE LAKE)
NI MARUFUKU KUVAA SURUALI AU KUSHONEA NYWELE ZA KATANI KICHWANI (HII ITAFANYA MKEO ASIWE NA MAMBO MENGI YASIYONATIJA)
KAMA MUNGU KAKUJAALIA KUJENGA NYUMBA..HAKIKISHA UNAJENGA CHUMBA CHAKO NA CHA MKE PEKEYAKE..(HII ITAKUSAIDIA KUPATA MAFICHO PINDI MTAKAPOGOMBANA NDANI YA NYUMBA).MFANO MUME AU MKE AKIMMISS MWENZIE ANAMUOMBA AKALALE CHUMBANI KWAKE..NA KAMA MTU HAITAJI KELELE BASI NI FURSA KWAKE KWENDA ROOM KWAKE KUPUMZIKA.
 
Unajua maana ya ndoa kweli mkuu?
 
Back
Top Bottom