Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kweli hapo alikosea sana kumkatisha moyo inaonyesha hana shukrani hafu mwenzake katoka safari angempokea na busu hafu mkiwa partners yabidi msilale na jambo moyoni, malizeni yote.
Yeah, ninaafiki.
 
Mwanaume sio kiumbe kizuri kabisa mmh sikipendi hiki kiumbe
 
Yeah, ninaafiki.
Mi naona viungovi vikizidi ni muhimu kusali pia na kufunga maana ujue wanawake huvamiwa sana na mapepo ya kiume Ili yavuruge ndoa ndo mana yashauriwa pia kusali pamoja as a family.
 
Pole mkuu kakufanyaje wife wako Ila ndoa siku hizi zina changamoto sana aisee sio kwa kuoa tu mchagga hata wengine. Maana ukikaa na kina mama wakikusimulia yanachosha na kwa wanaume case hyo hyo mnatutisha ambao hatujaolewa aisee
Wakati mwingine ni bora kutenga bajeti ya kutembelea maghetto ya kinamama wa kihaya/ambiance unamalizana nao kimyaaa. No string attached.
 
Hahaaaaa Ila hyo ni temporary solution aisee ukitoka maumivu moyoni pia sometimes ni vzuri kupeana space hata ya miezi miwili wanawake wenye ndoa hujiamini na kubweteka si unaona kiria sasa anamlilia kamanda baada ya kumchunia
Wakati mwingine ni bora kutenga bajeti ya kutembelea maghetto ya kinamama wa kihaya/ambiance unamalizana nao kimyaaa
 
Hahaaaaa Ila hyo ni temporary solution aisee ukitoka maumivu moyoni pia sometimes ni vzuri kupeana space hata ya miezi miwili wanawake wenye ndoa hujiamini na kubweteka si unaona kiria sasa anamlilia kamanda baada ya kumchunia
Kwa umri, shepu ile hana namna. Na elimu, exposure hamna atakimbilia wapi?
 
Sasa hivi ndo analia maana mwanaume ukilegea kwa ndoa lazima maumivu yazudi wewe uchune zaidi ya miezi atarudi kwa machozi
Kwa umri, shepu ile hana namna. Na elimu, exposure hamna atakimbilia wapi?
 
Mi naona viungovi vikizidi ni muhimu kusali pia na kufunga maana ujue wanawake huvamiwa sana na mapepo ya kiume Ili yavuruge ndoa ndo mana yashauriwa pia kusali pamoja as a family.
Ni kweli.

Sala, michezo, utani, movies na activities nyingine za pamoja ni nyenzo muhimu sana katika kudumisha mahusiano.

Ninyi mnasali kwa pamoja?
 
Hivo vyote vikifanyika vitimbwi vina tulia maana ubusy sana na kutokupa mda mzuri mahusiano hufanya wenza wawe na hisia hasi hasa zana hzi za michepuko. Pia vacation husaidia akili kutulia.

Sala ni muhimu kwa partners huleta spiritual and body connection ya kutuliza tabia za ajabu ajabu
Ni kweli.

Sala, michezo, utani, movies na activities nyingine za pamoja ni nyenzo muhimu sana katika kudumisha mahusiano.

Ninyi mnasali kwa pamoja?
 
Hapo kwenye sala wengi hufanya kama mazoea. Mijitu imetoka na laana kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…