Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ukitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!
Bro.. nazani hapa umemaliza.. bila ubabe utashikwa hadi vuz*
 
Tufuate maandiko yanavyotwambia wala hatutapa shida sana...

1. Tumeambiwa mwanamke na amtii mumewe.

2. Mume ampende mkewe.

3. Mwanamke ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Ishinini kwa kuchukuliana kwani hakuna mkamilifu chini ya dunia hii. Fanyeni ibada na msiache kuziombea ndoa zenu
Asante sanaaa
 
Vijana msifikiri ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Huko mlima mrefu Afrika mbona laumu kwao zimekuwa ni nyingi?
 
Aisee watu wanazingua sana ukitaka kuoa ni bora kuusikiliza moyo wako. Leo rafiki yangu aliyeniunganisha kwa demu wangu kaniruka vibaya mno mara anasema siyo mtu wa kuoa
 
Kwa wanawake wa kizazi hiki ma utandawazi ni kujitafutia presha tu, utagombana nao wote.Ni kuishi nao kwa akili tu, furaha yako, maisha yako, amani yako, afya yako isihusiane 100% na huyo mkea, otherwise hutoboi

Back
Top Bottom