Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Waislamu hawakukosea walipo ruhusu talaka. Walichokosea Ni kuoa wengi.
Wangeweka akikukosea adabu unaacha unachukua mwingine sio kukaa na wote wanne kwa mpigo.
Asikudanganye MTU, kuwapelekea Moto wanawake wanne wenye afya ya mwili na akili wakaridhika sii Jambo rahisi.
Wanawake wanne ni lazima usaidiwe, kimsingi mwanaume anaweza kumudu kikamilifu wanawake wawili na sio wanne
 
Hawa wadudu wanatutesa Sana.
Akiona umekaa mkao wa kuomba puchi utasikia anaumwa na kichwa au tumbo au amechoka au ana usingizi. Wakati mtu huyo huyo kutwa anacheki simu yako aone Kama una mchepuko. Hawataki uzoeane na wanawake wengine Ila ndugu wa karibu tu. Hivi wanawake Wana nini? . We acha tu.
Mkuu kugegedwa kila siku ni ngumu
Peaneni space
Msiishi chumba kimoja
Me na mwenzangu kila mtu ana room.yake.hatuna ugomvi wala nini..mkikaa kujambiana jan to dec mnachokana
 
Mkuu kugegedwa kila siku ni ngumu
Peaneni space
Msiishi chumba kimoja
Me na mwenzangu kila mtu ana room.yake.hatuna ugomvi wala nini..mkikaa kujambiana jan to dec mnachokana
Huyu wangu kwa kweli vyumba tofauti hawezi kukubali. Kumbuka na house girl nae anachumba chake. Halafu anahisi naweza ku import.
 
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.

Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.

NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa

UPDATE: 22 Novemba 2016

Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.

Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).

Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.

Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.

**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.
Kama bado hujagongewa ukafunika kombe ww bado ndoa huijui
 
Back
Top Bottom