Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kosea gari maana unaweza ukaiuza ukanunua gari nyingine,kosea nyumba maana unaweza ukaibomoa na kujenga nyingine ya style mpya ,,, ila usidhubutu kukosea ndoa( mwenza wako) maana ukikosea kuoa Basi umekosea na maisha, you'll live to regret forever.
Aisee Kama Kuna maamuzi ambayo mtu anatakiwa kuyafanya akiwa na utulivu Wa akili( sober mind) Basi bila Shaka Ni maamuzi ya ndoa,Yaani kumchagua mtu sahihi utakayeishi naye Kama mke/ mume.Ikiwezekana muhusishe Mungu akuonyesha mwenza wako.