Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto hazikimbiwi in life unazichelewa tu ila zipo pale pale wala usiogope oa umpendae purukushani zipo kuna time mpaka vinachekesha siku zinakwendaMe ndo naogopaaa mnapoyaweka bayana haya .Mungu wangu nitaoa kwl mie?
Umesema vema Mkuu kuona mwenzako ndo mkosaji haipogo hiyoMimi nadhani kuishi pamoja kama mume na mke ndo kunahitaji uvumilivu.
Wote mvumiliane na sio uvumilivu uwe wa upande mmoja tu.
Kumwona mwenzio ndiye mwenye mapungufu na wewe kujiona uko timilifu nayo ni mapungufu.
Mwanaume au mumeo si mtu sahihi wa kwenda nae ligi hata siku moja mtazamo wangu hata Kama kakufanyia ubaya we tafuta njia tu ya kutafuta amani ya moyo wako ila sio eti kafanya hivi na mimi nafanya vile utaumia ww.Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
cc. Sekretarieti ya Ndoa Mkoa wa KILIMANJARO.

AmeniTufuate maandiko yanavyotwambia wala hatutapa shida sana...
1. Tumeambiwa mwanamke na amtii mumewe.
2. Mume ampende mkewe.
3. Mwanamke ataibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Ishinini kwa kuchukuliana kwani hakuna mkamilifu chini ya dunia hii. Fanyeni ibada na msiache kuziombea ndoa zenu
Najaribu kukusoma, wewe ni miongoni wa wake wenye maneno kama cherehani[emoji3]hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Mke mwingine haisaidii. Angalia tatizo lipo wapi kwanza. Sometimes si unajua na sisi tunazinguaga...!!!Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.
Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
Maisha yako hayana tofauti sana na mimi Mkuu.Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
cc. Sekretarieti ya Ndoa Mkoa wa KILIMANJARO.
ungejua huwa siongoi mpaka sometimes mr. huwa ananiona kama nna kiburi vile, me vyangu vitendo tuNajaribu kukusoma, wewe ni miongoni wa wake wenye maneno kama cherehani[emoji3]
Jamaa atakuwa anapata shida, ila wanawake wengi wenye maneno mengi hawadumu kwa ndoa[emoji12]
.
Hata hivyo dawa kubwa ya ndoa ni mwanaume kuwa na wake wawili au zaid,