Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamni wale tolokuwa kweye jopooo la umbea enzi zile piten mwanacham mwenzet karudisha kadi@shunie ita wambea wote hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yaan hat sijui umepatwa na kitu gani ile siku kujufanya mwanaume gafla ya kweli haya anko demi kinachonichanganya zaidi tulisengenyeya wote enzi zile tumeumbuka wambea wote piteni hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi siwezi kamwe kuwa mwanaume. Haijawahi tokea na haitatokea. Sikumbuki hiyo comment niliiandika katika mazingira gani.
Naanzaje kuwa mwanaume mimi, kwa shida gani niliyonayo?[emoji23][emoji23][emoji23]

Cc: @ukhuty
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamni wale tolokuwa kweye jopooo la umbea enzi zile piten mwanacham mwenzet karudisha kadi@shunie ita wambea wote hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Umenikumbusha mbali sana yaani.

Lilikuwa jopo la wambea hasaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…