Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

ukioa watani zangu wahaya jiandae kufumania au tenga pesa kabisa za kujiuguza ngwengwe na kununulia sanda/jeneza.
 
Mhh inaonekana kajisahau kupitiliza na ni aibu kwa mwanamke .[emoji53]vumilia ndo ushaoa,mana ulimchagua mwenyew huna jinsi.
 
Maanina nimvumilie eti maisha yaende ziwexi hawexi and oke au namptozea nilivyofanya mimi
 
Maanina nimvumilie eti maisha yaende ziwexi hawexi and oke au namptozea nilivyofanya mimi
Ndugu,
Ndoa za kigalatia si unajua ni za kinafiki mpaka Papa aridhie kuachana/talaka sio leo bora tu uwe unagonga wale mabaa-medi ili siku zisonge ukisubiri kutekwa/kufa.
 
Ndoa sio kuvaa sare za maua maua zinazofanana.....utalala doro. Suruhisho pekee ni mfumo dume....hata Jehova amebariki hivyo...Baba kichwa cha nyumba...ewe baba mpende mkeo....na wewe mama mtii mumeo
 
Back
Top Bottom