ywf
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 788
- 919
Endelea kupiga hesab zako vzr,lakin ujue hakuna dunia salama zaid bila kuheshim mwanamke,wala hatuwawez kwa uwezo wa ubongo wao,wala hatuwakaribii hata nusu. Raha ya dunia ni mwanamke tu kubali au kataaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kupiga hesab zako vzr,lakin ujue hakuna dunia salama zaid bila kuheshim mwanamke,wala hatuwawez kwa uwezo wa ubongo wao,wala hatuwakaribii hata nusu. Raha ya dunia ni mwanamke tu kubali au kataaa
[emoji23] eti "kucheza kwaito", hakya Mungu wanaume kazi tunayoVijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Waambie hao wanafikiri kuwa kichwa lazima uwe mbabe no! Kama nibaba bora watoto watalitambua tu hilo huyu ni baba ukiwa mme bora hakuna dharau kutoka mkeNi mwanamke wako tu kiongoz,wanawake ukiwajulia utaiona dunia ni sehem salama zaid ya kuishi,tatzo mnaendekeza ubabe juu yao,bila kusahau wanauwezo kuliko sisi wanaume,ishi nae vzr na msikilize sanaaa utaona raha yake,yyte amnyanyasae mwanamke au kumdharau hawez kuona raha ya dunia hui
Mola tupe uvumilivu na hawa wanawakkeSina la kuongeza maana nimeoa nauona moto wake,
Unaweza kuyayusha hata hicho Chuma cha uvumilivu.
Unazani wanawake hawana shida na hawa wenye vichwa viwili no nawao wanavumilia tu akifikiria kuondoka anaza watoto ngoja nikomae tu mbaba haeleweki kama ni mme au baba wa familia au laa kutwa kuchwa humu jf kulala kuamka humo yote mateso nikuvumiliana tuMola tupe uvumilivu na hawa wanawakke
Hahahahaaaaaaa pembezoni mwa mlima meru ni balaaVijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Nikijua ni either of the two l. Nimekufa au umekufaMimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.
Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.
NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
======
Unaweza kutazama mkasa huu ukisomwa ktk Kipind cha JamiiLeo
======
UPDATE: 22 Novemba 2016
Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.
Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).
Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.
Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.
**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.
27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA
29 Januari, 2017
Kujidai kusali kutwa/kucha na kushinda makanisa ni KUTAFUTA MIUJIZA huku haumuheshimu mumeo ni kujidanganya tu.
Wachaga na wanyakusya wana shida gani??!!! hahaaaaVijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Kweli zama zimepita mwanamke anakuwa na wanaume zaidi ya saba mmewe wa nane anaona sawa.hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Vipi kiburi au???Mwanzo Nilikuwa nakwazika sana lakini badae nilipogundua ni kilema chake aaah mbona mambo ni poa tu huu mwaka wa 4 sasa.
Akiwa na wanaume wa kukusaidia unajifanya hujui ili usishindane na ukuta.Maisha yako hayana tofauti sana na mimi Mkuu.
Ukisema ushindane na mwanamke ndani ya nyumba,ni sawasawa na kupigana na ukuta,kuna wanawake wengine tabia zao hazivumiliki wala hazizoeleki.Wanawake kama hao kama ulivyosema,inahitajika akili ya ziada na kujifanya mjinga.
Kitu kibaya ndani ya nyumba kuliko zote ni kushindana na mwanamke,ukishindana na mwanamke ndani ya nyumba,kila kitu kitadorora,majukumu ya kuikarabati nyumba yatapungua kwenu wote wawili,kuzungumza kwa maelewano kwa ajili ya kuijenga nyumba yatakuwa siyo mazuri,kuna hasara nyingi sana kushindana na mwanamke ndani ya nyumba.
No way outmakubwa mmeanza kuwasema huku...watawanyoosha hakika ....kuna waliooa wanafurahia hawakuwahi hata kujutia kuwaoa wake zao na kuna ambao wanajutia kuoa hahaha..halafu hapo vuta picha na mwanamke ulimwacha bila sababu na alikuonyesha upendo wa dhati halafu ukamwona kama bwege,,,hapo lazima umkumbuke,,,,,tehteh....uwiii
nipostie mm pm, afu ntaurusha hapa jf vzurNlNA UZI MKALI NASHINDWA NAMNA YA KUPOST NA NI TRUE STORY NIKIWEZA NITAUPOST ACHA NIJIFUNZE KUTUMIA JF KWANZA NA NMEJIUNGA KWASABABU HIYO
Wengi wanajificha kwenye kivuli cha dini but wanafiki tu.Naunga mkono hoja
Unless upate mwenye hofu ya Mungu