Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kweli hapo alikosea sana kumkatisha moyo inaonyesha hana shukrani hafu mwenzake katoka safari angempokea na busu hafu mkiwa partners yabidi msilale na jambo moyoni, malizeni yote.
Yeah, ninaafiki.
 
Je mnajua kukaa na wanaume ni kazi ambayo ni kubwa sana .
Mnatesa sana wake zenu tena mkijua wanawategemea.
Vijidudu vyenu mna sambaza kila mahali .
Nakumletea mwanamke mateso mara magonjwa ya azinaa .
Unampiga kisa umempata alima.
Unampiga kisa umekuka umeleewa huna hata haya kabisa .
Mwanamke aliyekuzalia hawa na adam wazuri wanaofanana nawewe.
Unampiga mpaka unaua mama wawatoto wako halafu unaoa halima.
Au unamfukuza yeye na watoto.wako.
Hamna haya unamjibu mbele za watoto vibaya unamdharau kisa amepitisha mabichwa ya watoto wako kwaaumivu makali wakatoka salama hamna haya kabisa nyie.
Humpi haki yake kwa maana eti ameshazaa hana ladha tamu tena.
Eti kidudu chako kinamfaa amina na halima na akina furaeli sasa umeoa yanini.
Unakuja muda unaotaka eti hapo nikwako na hakuna mtu ambaye atakuambia chochote.
Ukisema unapigwa kama nini .
Unalala kama nini hujui hata watoto wamekula nini.
Kutoa hela yako ni ngumu kwa kila hitaji la watoto.
Unakuta hujalogwa hujakosa chochote hela ipo ila uko radhi ule na malaya na unarudi nyumbani umekula mlo ambao watoto wako hawajala wanamiaka nayo.
Sijawahi kuona watu waajabu
Na akina mama wanaoishi nao nikazi.
Nyie niwanyama mnaotembea na miguu miwili.
Nibora uolewe porini.
Mkienda sasa harusini ataki aonekane nawewe.
Atatafuta sababu mkutane naye ukumbini.
Nyie eti mnamgombeza wake zenu mbele za malaya zenu.
Si umnyamazishe huyo mtoto analia kama nini kumbe mtoto amemis upendo wa baba au ananjaa.
Hajala vizuri asubuhi nyie wanaume mnadhambi sana tubuni.
Mwanaume sio kiumbe kizuri kabisa mmh sikipendi hiki kiumbe
 
Yeah, ninaafiki.
Mi naona viungovi vikizidi ni muhimu kusali pia na kufunga maana ujue wanawake huvamiwa sana na mapepo ya kiume Ili yavuruge ndoa ndo mana yashauriwa pia kusali pamoja as a family.
 
Pole mkuu kakufanyaje wife wako Ila ndoa siku hizi zina changamoto sana aisee sio kwa kuoa tu mchagga hata wengine. Maana ukikaa na kina mama wakikusimulia yanachosha na kwa wanaume case hyo hyo mnatutisha ambao hatujaolewa aisee
Wakati mwingine ni bora kutenga bajeti ya kutembelea maghetto ya kinamama wa kihaya/ambiance unamalizana nao kimyaaa. No string attached.
 
Hahaaaaa Ila hyo ni temporary solution aisee ukitoka maumivu moyoni pia sometimes ni vzuri kupeana space hata ya miezi miwili wanawake wenye ndoa hujiamini na kubweteka si unaona kiria sasa anamlilia kamanda baada ya kumchunia
Wakati mwingine ni bora kutenga bajeti ya kutembelea maghetto ya kinamama wa kihaya/ambiance unamalizana nao kimyaaa
 
Hahaaaaa Ila hyo ni temporary solution aisee ukitoka maumivu moyoni pia sometimes ni vzuri kupeana space hata ya miezi miwili wanawake wenye ndoa hujiamini na kubweteka si unaona kiria sasa anamlilia kamanda baada ya kumchunia
Kwa umri, shepu ile hana namna. Na elimu, exposure hamna atakimbilia wapi?
 
Sasa hivi ndo analia maana mwanaume ukilegea kwa ndoa lazima maumivu yazudi wewe uchune zaidi ya miezi atarudi kwa machozi
Kwa umri, shepu ile hana namna. Na elimu, exposure hamna atakimbilia wapi?
 
Mi naona viungovi vikizidi ni muhimu kusali pia na kufunga maana ujue wanawake huvamiwa sana na mapepo ya kiume Ili yavuruge ndoa ndo mana yashauriwa pia kusali pamoja as a family.
Ni kweli.

Sala, michezo, utani, movies na activities nyingine za pamoja ni nyenzo muhimu sana katika kudumisha mahusiano.

Ninyi mnasali kwa pamoja?
 
Hivo vyote vikifanyika vitimbwi vina tulia maana ubusy sana na kutokupa mda mzuri mahusiano hufanya wenza wawe na hisia hasi hasa zana hzi za michepuko. Pia vacation husaidia akili kutulia.

Sala ni muhimu kwa partners huleta spiritual and body connection ya kutuliza tabia za ajabu ajabu

Hapo kwenye sala wengi hufanya kama mazoea. Mijitu imetoka na laana kwao.
 
Back
Top Bottom