Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Uvumiliv na kuish kwa akil kubwa na mke ndo cha msing then kusali na kuomba Mungu hekima bas
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.

Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.

NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
======

Unaweza kutazama mkasa huu ukisomwa ktk Kipind cha JamiiLeo

======

UPDATE: 22 Novemba 2016

Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.

Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).

Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.

Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.

**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.

27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA

29 Januari, 2017
Kujidai kusali kutwa/kucha na kushinda makanisa ni KUTAFUTA MIUJIZA huku haumuheshimu mumeo ni kujidanganya tu.

 
Hahaaa. Pole mwaya.

Hivyo kama ni me kweli, alikuchooora weee huku anaona jinsi Ke tunapenda ubuyu hadi PM. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiuhakika kabisa Demi ni mwanamke ...hiyo comment aliamua kuzingua kivyake vyake tu, so tuendelee kupeana nae maubuyu ni mwenzetu
 
Pole mkuu kakufanyaje wife wako Ila ndoa siku hizi zina changamoto sana aisee sio kwa kuoa tu mchagga hata wengine. Maana ukikaa na kina mama wakikusimulia yanachosha na kwa wanaume case hyo hyo mnatutisha ambao hatujaolewa aisee
Unakuta yeye ni shetani ila anataka kuoa malaika, kwendaaaaa shetani utapata shetani wao laa mapepo
 
Mwanaume una tabia mbovu na chafu then unataka mke mwema eeeh hakika utasubiri sana, na ndoa ndo mtego wako wa kukosa amani
Unakuta yeye ni shetani ila anataka kuoa malaika, kwendaaaaa shetani utapata shetani wao laa mapepo
 
Yani had kinachopikwa hajui majanga haya she has nothing to loose ukute Ana kidumu maana wanawake tukipataga mpango kando hatusikii jambo la yoyote vile
Kuna dada akikosa house girl hapiki wanakula chips na watoto wao mwanaume anafunga safari ya kwenda kula kwao, kuna wanaume wajinga duniani sijui ndiyo kuwahiwa na mke!
 
Kuna comments mwanzo zilikuwaga za kidume nyuzi flani sikutia maanani, Ila hii ya juzi. Ila jf ni ya Kuwa makini kuamini amini watu hovyo sio vzuri
Kiuhakika kabisa Demi ni mwanamke ...hiyo comment aliamua kuzingua kivyake vyake tu, so tuendelee kupeana nae maubuyu ni mwenzetu
 
Hatuku chart sana it was short chart. That's why ku trust mtu jf ni hatari people have hidden agenda
Hahaaa. Pole mwaya.

Hivyo kama ni me kweli, alikuchooora weee huku anaona jinsi Ke tunapenda ubuyu hadi PM. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamekutana wote akili hamna. Toka lini chips zikawa msosi hasa kwa watoto
Kuna dada akikosa house girl hapiki wanakula chips na watoto wao mwanaume anafunga safari ya kwenda kula kwao, kuna wanaume wajinga duniani sijui ndiyo kuwahiwa na mke!
 
Ukweli Ni kwamba Ni ngumu sana kwa sisi kuwa na mwanamke mmoja,ndo maana hao wamama wanalalamika kea hiyo jiandae mama,mumeo lazima achepuke tu
Ndiyo akichepuka na mke kulijua hapo ndipo petrol imaongezeka.kwenye ndoa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom