Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ile kauli ya kusema Mwanaume ndio kichwa cha familia inajidhihirisha. Binasfi mimi kiumri ni mdogo sana nipo under 20 lakini mambo ambayo nasimuliwa humu jukwaani na vituko pamoja na vimbwanga vya NDOA. Sioni kama kuna faida yoyote yenye mantiki ya kuoa
 
Ile kauli ya kusema Mwanaume ndio kichwa cha familia inajidhihirisha. Binasfi mimi kiumri ni mdogo sana nipo under 20 lakini mambo ambayo nasimuliwa humu jukwaani na vituko pamoja na vimbwanga vya NDOA. Sioni kama kuna faida yoyote yenye mantiki ya kuoa
Na ile birthday yako ya 24 ilikuwa ya kaka ako?.....ila JF[emoji23] [emoji23]
 
Kwa life style yako ndoa itakuwia ngumu sana,, nani alikuambia kuna mwaume anataka usawa? Mwanamke abaki kuwa chini ya imaya ya mwaume tuu, ndo maana hata vitabu vya mungu vinasema mwaume ni kichwa cha familia. Ndo maana wanawake wengi Wenye kipato mnazalishwa na kuachwa.

Kwani wewe hapo neno usawa umelichukuliaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamni wale tolokuwa kweye jopooo la umbea enzi zile piten mwanacham mwenzet karudisha kadi@shunie ita wambea wote hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Umenikumbusha mbali sana yaani.

Lilikuwa jopo la wambea hasaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sijui naanzia wapiii kuna nn
 
Mcomment ulikuwa unajieleza kiume...hahaha
Basi kubali mwaya.
Mwenzio si unajua alikuwa anaigiza?
Si unajua humu tukiwa na mihemko tunavaa uhusika wowote.
Hata wa simba au paka...hahaha
Hahahaaa. Ama kweli penye watu wazima hapaharibiki neno.

Nimefurahi kukuona Dada ukitumia ukubwa wako kuweka mambo sawa.

👏👏👏👏👏 yaani kwa hiyo kauli lazima mtu akubali tu.
 
Kiuhakika kabisa Demi ni mwanamke ...hiyo comment aliamua kuzingua kivyake vyake tu, so tuendelee kupeana nae maubuyu ni mwenzetu
Hahahaaa. Sawa mwaya si wajua tena hasa kwa sie wanawake saa nyingine umbea unaleta afya. 😂😂😂😂

Nimeandika na kucheka mwenyewe lol. Kama kawaida tutakula naye ubuyu huku majukwaani.
 
Back
Top Bottom