Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Kweli siye ni unstoppable husbands
Aahaaaa
Mwache tu afoke
Aahaaaa
Mwache tu afoke
Mpwa mbona unafoka sana, kwema nyumbani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa mbona unafoka sana, kwema nyumbani?
WanatuwazaEvelyn Salt leo kumekucha na ninyi
Huu uzi wanangu kina dronedrake watauchukua kwenye negative impacts tuTuishi nao kwa akili, haya maandiko sio mm. Mwanamke ameumbwa kupenda, sasa wewe ukienda na mambo yako ndugu utaishia na talaka. Wale hawataki shida yaan kama unajua una tatizo la afya ya akili usikimbilie kuoa.
Kama unajua huna moyo wa upendo usioe. Kama una ubahili usioe, ukilazimisha utashangaaa kila ukirudi unawekewa wimbo wa past langa shetani nitakupigaa na mawe, nitakupigaa
Ukimpenda ukamtunza utasikia wimboo wa wewe ndioo wanguu chaguoooo la mungu nimekuchagua wewe uwe wangu wa maisha
Ndoa sio hirizi kila mtu anaavaa. Kuna watu wanashsinda bar toka wiki ya pili ya ndoa yake. Ukiona mke anandika ma 16 anniversary ya ndoa unabaki kuhamaki huyo ndio mke.
Sema amina yarabi. Hao ndio wake zetu
Tujipongezeee popote tulipo wanaume tuliokomaa na ndoa.
Unstopable husband
Daah! Jumamosi kama leo 2015!Mpwa kwema mpwa wangu
Leoo si unajuaaqqqaa siku ya maharishi
Nawakumbusha kama awajaenda kanisani wanaweza kujitafakari wakaahairisha ndoa zaooooo
😂 mpwa wacha tule monde za afya
Shikamoo aisee! Ushapata experience ya kutosha, ibabidi usikilizwe hoja zako.2005 Nov....
2007 nkakimbia nkarudi 2009 upya nikonikoosanaaaa hiii sitokiii hata aje nani..kwasasaa nashaurii tu na kufanya maridhiano pale kunapokuwa na ndoa zenye visa vya tabia nchi....Shikamoo aisee! Ushapata experience ya kutosha, ibabidi usikilizwe hoja zako.