Tuishi nao kwa akili, haya maandiko sio mm. Mwanamke ameumbwa kupenda, sasa wewe ukienda na mambo yako ndugu utaishia na talaka. Wale hawataki shida yaan kama unajua una tatizo la afya ya akili usikimbilie kuoa.
Kama unajua huna moyo wa upendo usioe. Kama una ubahili usioe, ukilazimisha utashangaaa kila ukirudi unawekewa wimbo wa past langa shetani nitakupigaa na mawe, nitakupigaa
Ukimpenda ukamtunza utasikia wimboo wa wewe ndioo wanguu chaguoooo la mungu nimekuchagua wewe uwe wangu wa maisha
Ndoa sio hirizi kila mtu anaavaa. Kuna watu wanashsinda bar toka wiki ya pili ya ndoa yake. Ukiona mke anandika ma 16 anniversary ya ndoa unabaki kuhamaki huyo ndio mke.
Sema amina yarabi. Hao ndio wake zetu
Tujipongezeee popote tulipo wanaume tuliokomaa na ndoa.
Unstopable husband