Kuishi ni bahati na kufa ni lazima

Kuishi ni bahati na kufa ni lazima

Ndoto yangu ilikuwa kumtumikia Mungu kwa moyo na kweli daima....mahusiano ya mapenz yamenivurugia sana mahusiano na Mungu wangu....Lakini tumaini lipo kuna MTU Mungu kamwinua kupitia mahusiano hayahaya ili tuipiganie mbingu kwa pamoja.Ee Mola nijaalie mwisho mwema.🙏
 
Nakuombea ushindi
 
Ukimaliza mwaka ukiwa mzima wa afya ni jambo la kushukuru mungu.

Waliotutoka ni wengi na hatujui kesho yake nani anafata.

Maisha haya tuliyokuwepo nayo ni ya kuhesabu mda wowote yanaweza kukoma.

Tutende mema
Kuishi ni Kristo kufa ni faida.

Bora kujiandaa mapema maana hakuna ajuaye siku wala saa.
 
Nimajaariwa yake mungu kuuona mwaka..
 
Back
Top Bottom