Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuombea ushindiNdoto yangu ilikuwa kumtumikia Mungu kwa moyo na kweli daima....mahusiano ya mapenz yamenivurugia sana mahusiano na Mungu wangu....Lakini tumaini lipo kuna MTU Mungu kamwinua kupitia mahusiano hayahaya ili tuipiganie mbingu kwa pamoja.Ee Mola nijaalie mwisho mwema.🙏
Kuishi ni Kristo kufa ni faida.Ukimaliza mwaka ukiwa mzima wa afya ni jambo la kushukuru mungu.
Waliotutoka ni wengi na hatujui kesho yake nani anafata.
Maisha haya tuliyokuwepo nayo ni ya kuhesabu mda wowote yanaweza kukoma.
Tutende mema
Amina mkuu,Barikiwa sanaNakuombea ushindi
Amen amenAmina mkuu,Barikiwa sana