Wewe wasema.....Unamaanisha kila msukuma ni mchawi?
Kingine huku hata uwe na miaka 60 kama huna mali ,mifugo,mashamba,familia kubwa,kazi nzuri au heshima fulani sahau kupigiwa magotiNi wewe ndo unajiona kijana ila wao wanakuona mzee kwahiyo tatizo lipo kwako hata kama unamiaka 20 ukiona unasalimiwa na mtu mwenye miaka 30 ujue unamuonekano wa kizee
Siyo huko tu hata mi zamani nilijua nurse ni mwanamke na mwanaume ni doctor kumbe hata mwanaume anaweza kuwa nesi na mwanamke anaweza kuwa dokta.M
Hawanisalimii mimi wanasalimia kazi yangu,mimi ni mkunga lakini naitwa doctor,huku kila mwanaume anayefanya kazi hospitali ni doctor
zaidi; mtoto wa kiume hata awe wa mwisho anasalimiwa na dada zake hata kama wanamzidi zaidi ya miaka 20Huko hata mtoto mdogo wa kiume anadalimiwa kwa heshima kabisa hata na mmama mtu mzima.
Ni moja wapo ya zile jamii zilizoendekeza sana mfumo dume. Kama sisi Wamasai.
Kishimbenzobe huku
Inasaidia sana tu unajikuta na wewe unabehave vizuri ili uendelee kuheshimikaMimi nipo Kidabaga Iringa huku navuna viazi! Ukikutana sasa na wamama watu wazima njiani, lazima wasogee pembeni kidogo na wakusalime kwa heshima kamwene!! Na mimi nawajibu kamwene!! Na wakati mimi ni Mkabila π
Wana heshima kweli hawa watu!! π
AiseeeeeeHata Mbeya kwa wanyakyusa wapo ivyo pia.
Ni wewe ndo unajiona kijana ila wao wanakuona mzee kwahiyo tatizo lipo kwako hata kama unamiaka 20 ukiona unasalimiwa na mtu mwenye miaka 30 ujue unamuonekano wa kizee
Hapo ni Bunamhala village ?
Na anapigiwa goti na hao masista waliomzidi umri.zaidi; mtoto wa kiume hata awe wa mwisho anasalimiwa na dada zake hata kama wanamzidi zaidi ya miaka 20
YeahπNa anapigiwa goti na hao masista waliomzidi umri.
Hadi waume wa dada zao ni madogo kwao, nao hupigwa "ng'wa guku" za kibabe kabisa π π πYeahπ