Kuishi usukumani raha sana,wamama watu wazima wananisalimia wakiwa wamepiga magoti kama dakika tatu hivi

Ni wewe ndo unajiona kijana ila wao wanakuona mzee kwahiyo tatizo lipo kwako hata kama unamiaka 20 ukiona unasalimiwa na mtu mwenye miaka 30 ujue unamuonekano wa kizee
Kingine huku hata uwe na miaka 60 kama huna mali ,mifugo,mashamba,familia kubwa,kazi nzuri au heshima fulani sahau kupigiwa magoti
 
Mimi nipo Kidabaga Iringa huku navuna viazi! Ukikutana sasa na wamama watu wazima njiani, lazima wasogee pembeni kidogo na wakusalime kwa heshima kamwene!! Na mimi nawajibu kamwene!! Na wakati mimi ni Mkabila 😁

Wana heshima kweli hawa watu!! 😁
 
Inasaidia sana tu unajikuta na wewe unabehave vizuri ili uendelee kuheshimika
 
Ni wewe ndo unajiona kijana ila wao wanakuona mzee kwahiyo tatizo lipo kwako hata kama unamiaka 20 ukiona unasalimiwa na mtu mwenye miaka 30 ujue unamuonekano wa kizee

Kwa sisi Wasukuma mwanaume kwa mwanamke nikama mungu wa kaya, ile si kunyenyekewa ile ni heshima unapewa ili kujijua unathaman kiasi gani mbele ya watu wako, yani kama we ni mtoto wa kiume na ushabarehe unatimiza majukumu yako vyema kifamilia, kiufupi UTAENJOY.
 
Back
Top Bottom