Kuishi usukumani raha sana,wamama watu wazima wananisalimia wakiwa wamepiga magoti kama dakika tatu hivi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mkuu inaonekana unapenda umwinyi sana
 
Ya kweli ama? So wamama wa kisukuma sio wa kuwaoa kabisa.
ni wa kuwaoa, ni watu wenye heshima sana na wanaweza kudumu kwenye ndoa. ila kwa uzee wangu huu, kwa experience, sijawahi kutongoza mwanamke wa kisukuma akanikataa. nimeishi sana mikoa hiyo. unaweza kutongoza mchaga akakusumbuasumbua, ila mhaya na msukuma, mhhhh
 
Usukumuani kama una miaka 25 na kuendelea ni mtu mzima sana ,maana wanaanza kutafuta maisha pamoja na familia mapema sana kama wazungu.

Usishangae mtu miaka 23 ana watoto hata wawili na kuendelea.
Msichana wa miaka 23 anaweza kuwa na watoto wanne
 
Ongeza na waha hapo kwenye list
 
Msichana mweupe uko analipiwa mahari kubwa tofauti na singida kwa wanyanturu ambapo unaweza jibebea mwanamke mweupe bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…